-
Marekani yaipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ianzishe uhusiano na Israel
Dec 24, 2020 03:31Mkuu wa shirika la kimataifa la ustawi wa fedha la Marekani ameipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ili ikubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Indonesia yakadhibisha madai ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 17, 2020 04:42Indonesia imekanusha madai ya kipropaganda ya vyombo vya habari vya Wazayuni kwamba inataka kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Makumbusho kubwa ya Muhammadiyah kufunguliwa nchini Indonesia mapema 2021
Nov 22, 2020 12:33Makumbusho ya Muhammadiyah iliyojengwa katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta inatazamiwa kuwa makumbusho kubwa kabisa kuhusu Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Rais wa Indonesia akosoa undumakuwili wa Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza
Nov 01, 2020 11:49Rais Joko Widodo wa Indonesia amekosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu uhuru wa maoni na kujieleza na kusema: "Uhuru wa maoni ambao unavunjia heshima matukufu ya kidini haukubaliki."
-
Dunia yaendelea kulaani matamshi ya Rais wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Mtume (saw)
Nov 01, 2020 08:10Wimbi kali la kulaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea matusi na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad (saw) nchini humo limeendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington
Sep 02, 2020 02:42Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.
-
Dakta Zarif: Iran na Indonesia zina mtazamo mmoja kuhusu kadhia ya Palestina
Sep 07, 2019 02:38Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Indonesia zina mtazamo mmoja kuhusiana na kadhia ya Palestina na kubainisha kwamba, Baytul-Muqaddas ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Wafanyabiashara wa Indonesia: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ugaidi wa uchumi
Jul 02, 2019 02:26Wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda nchini Indonesia walioshiriki kikao cha pamoja na wafanyabiashara wa Iran mjini Jakarta mji mkuu wa nchi hiyo, wamepinga vikali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kuvitaja kuwa ni ugaidi katika uga wa uchumi.
-
Wafanyakazi Indonesia wapewa mshahara maradufu Ramadhani
May 12, 2019 07:39Wafanyakazi nchini Indonesia wanatazamia kupewa mshahara mara mbili katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, ili kuwawezesha kufurahia sikukuu ya Idul Fitr ambayo ni moja ya likizo ndefu zaidi nchini humo.
-
Taarifa za visanduku vyeusi: Ajali ya ndege ya Ethiopia 'inafanana' na ya Lion Air ya Indonesia
Mar 18, 2019 07:14Taarifa za awali zilizopatikana kwenye vinasa taarifa na sauti vya ndege ya Ethiopia iliyoanguka siku kadhaa zilizopita zinaonyesha kuwa, kuna "mshabihiano wa wazi" kati ya ajali ya ndege hiyo na ile ya shirika la ndege la Indonesia la Lion Air iliyotokea mwezi Oktoba mwaka jana.