- 
          Safari ya Mohammad Bin Salman nchini Malaysia na Indonesia yaahirishwa ghaflaFeb 17, 2019 05:04Safari ya Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia nchini Malaysia na Indonesia imearishwa ghfla bila kutolewa sababu. 
- 
          Indonesia yaanza kuwatafuta manusura waliofukiwa katika maporomoko ya udongoJan 01, 2019 15:04Timu ya waokoaji imeendelea na zoezi la kutafuta watu ambao bado wako hai baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha maporoko ya udongo mashariki mwa Indonesia. 
- 
          Makumi wapoteza maisha katika janga la tsunami nchini Indonesia + VideoDec 23, 2018 07:20Makumi ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na tsunami iliyosababishwa na mripuko wa volcano nchini Indonesia. 
- 
          Kutolewa hukumu ya kunyongwa raia 103 wa Indonesia nchini SaudiaNov 05, 2018 02:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia imetoa taarifa ikisema kuwa, tokea mwaka 2011 hadi sasa utawala wa Saudia, umewahukumu kifo raia 103 wa nchi hiyo. 
- 
          Watu elfu 5 wanasadikiwa kupotea katika maeneo mawili yaliyoathiriwa na zilzala IndonesiaOct 07, 2018 15:29Watu wasiopungua elfu tano hawajulikani walipo hiyo ni baada ya mtetemeko wa ardhi na tsunami kutokea katika mji wa Palu nchini Indonesia. 
- 
          Idadi ya waliopoteza maisha katika zilzala, tsunami Indonesia yapindukia 1,200Oct 02, 2018 08:18Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na tsunami na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokikumba kisiwa cha Sulawesi mashariki mwa kisiwa cha Borneo nchini Indonesia imeogezeka na kufikia watu 1,234. 
- 
          Mamia wapoteza maisha katika zilzala na tsunami nchini IndonesiaSep 29, 2018 08:11Mamia ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na tsunami na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokikumba kisiwa cha Sulawesi mashariki mwa kisiwa cha Borneo nchini Indonesia. 
- 
          Kuvunjwa kundi kubwa la kigaidi lenye mahusiano na genge la Daesh nchini IndonesiaAug 02, 2018 12:11Mahakama ya Indonesia imevunja kundi kubwa 'Jamaatu-Nashratu-Daulah' lenye mafungamano na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa tuhuma za kuendesha harakati za kigaidi ndani ya nchi hiyo. 
- 
          Indonesia yalivunja kundi kubwa lenye mahusiano na magaidi wa DaeshAug 01, 2018 15:16Mahakama ya Indonesia imevunja kundi kubwa 'Jamaatu-Nashratu-Daulah' lenye mafungamano na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa tuhuma za kuendesha harakati za kigaidi ndani ya nchi hiyo. 
- 
          29 wakufa maji, 41 watoweka baada ya feri yao kuzama IndonesiaJul 04, 2018 07:30Kwa akali watu 29 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya feri kuzama karibu na kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia, huku hatima ya makumi ya wengi ikisalia kitendawili.