-
Indonesia: Hakuna mazungumzo ya siri tuliyoyafanya na Israel
Jun 30, 2018 04:16Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia imekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala haramu wa Kizayuni kwamba serikali ya nchi hiyo imefanya mazungumzo ya siri na utawala huo kwa ajili ya kuondolewa marufuku inayowazuia Wazayuni kufanya safari nchini Indonesia.
-
50 wauawa na kujeruhiwa katika wimbi la hujuma dhidi ya makanisa Indonesia
May 13, 2018 07:38Mashambulizi matatu ya kigaidi dhidi ya makanisa yamepelekea watu wasiopungua 10 kuuawa na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa nchini Indonesia.
-
Ebtekar: Misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita ni tishio kwa wanawake Waislamu
May 03, 2018 15:24Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesema misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita vinatishia maisha ya wanawake Waislamu.
-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina
Jan 14, 2018 04:36Kaimu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Indonesia amesisitiza udharura wa kuchukuliwa hatua za kurejesha haki za taifa la Palestina na kusema bayana kwamba, daima Beitul-Muqaddas itaendelea kuwa mali ya Palestina.
-
Wananchi wa Indonesia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Dec 17, 2017 08:09Makumi ya maelfu ya wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano Jumapili ya leo kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel sambamba na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Waislamu Indonesia waandamana kuwatetea wenzao wa Rohingya
Sep 03, 2017 03:54Waislamu nchini Indonesia wamejitokeza kwa wingi mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani mauaji na jinai wanazofanyiwa Waislamu wenzao wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
-
Ashtari: Iran iko tayari kuzipatia uzoefu wa kipolisi nchi za Kiislamu
May 25, 2017 13:57Mkuu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikosi cha polisi cha taifa hili kiko tayari kushirikiana na nchi zote katika nyuga zote husuasan katika suala la kupambana na uhalifu wa kimataifa.
-
Mahakama yaagiza kucharazwa viboko mahanithi huko nchini Indonesia
May 18, 2017 03:47Mahakama ya Kiislamu nchini Indonesia imetoa hukumu ya kucharazwa viboko 85 hadharani, mahanithi wawili waliopatikana na hatia ya kufanya liwati na kujihusisha na uhusiano wa jinsia moja.
-
Gavana wa mji mkuu wa Indonesia aswekwa jela kwa kuuvunjia heshima Uislamu
May 09, 2017 13:55Gavana wa Jakarta, mji mkuu wa Indonesia amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kuuvunjia heshima na kuudhalilisha Uislamu.
-
Rouhani: Iran inakaribisha kuimarisha uhusiano wake na Indonesia
Feb 28, 2017 07:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaunga mkono kikamilifu suala la kuimarisha ushirikiano wake na Indonesia katika nyuga mbalimbali kama vile uchumi, siasa na masuala ya sayansi.