-
Kupanuka wigo wa kuchukiwa kimataifa utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 24, 2017 02:34Hatua ya serikali ya Indonesia ya kukataa ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kupita katika anga yake imethibitisha kwamba, kinyume na fikra potofu za Wazayuni, nchi za Kiislamu zingali zinaunga mkono haki za wananchi wa Palestina mbele ya watenda jinai na utawala huo umetengwa kikamilifu kimataifa.
-
Indonesia: Tumeshangazwa na jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wetu
Jan 25, 2017 03:01Serikali ya Indonesia imetangaza kuwa, imeshangazwa na hatua ya jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wa nchi hiyo na kwamba, kitendo hicho ni kinyume na sheria.
-
Kiongozi Muadhamu: Mapigano magharibi mwa Asia ni ya kutwishwa
Dec 15, 2016 04:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, machafuko yanayoshuhudiwa katika eneo la magharibi mwa Asia ni ya kutwishwa na ni kwa mujibu wa malengo ya kikhabithi kutoka nje.
-
Iran na Indonesia kuimarisha usalama katika ulimwengu wa Kiislamu
Dec 14, 2016 14:21Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Indonesia zina nafasi ya kipekee ya kuimarisha usalama katika eneo na ulimwengu wa Kiislamu kwa ujumla.
-
Rais Rouhani amlaki rasmi Rais wa Indonesia
Dec 14, 2016 08:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Indonesia katika Ikulu ya Saad Abad hapa Tehran.
-
Makumi wapoteza maisha katika mtetemeko wa ardhi Indonesia
Dec 07, 2016 07:54Makumi ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliolikumba eneo la kaskazini mwa Indonesia.
-
Watu 54 wafa maji baada ya boti yao kuzama Indonesia
Nov 04, 2016 15:50Habari kutoka Indonesia zinasema kuwa, watu 54 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama karibu na kisiwa cha Batam.
-
Vumbi na moshi wa sumu umesababisha vifo vya watu laki moja Indonesia
Sep 19, 2016 13:58Matokeo ya uchunguzi mpya uliofanywa yameonyesha kuwa kuna uwezekano kwamba vumbi la moshi wa sumu uliotokana na moto uliowashwa mwaka uliopita katika maeneo ya misitu ya Indonesia vimesababisha vifo vya kabla ya wakati vya watu wapatao laki moja katika maeneo hayo.
-
Iran yapania kuimarisha uhusiano na nchi za bara Asia
Jul 30, 2016 08:17Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza juu ya umuhimu wa kuimarisha uhusiano wake na nchi za bara Asia.
-
Wazayuni wamzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia kuingia Palestina
Mar 14, 2016 01:24Utawala wa kizayuni wa Israel umemzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Retno Marsudi kuingia katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, ambapo alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Palestina.