Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Nasser Kanani: Israel haitarejea katika kipindi cha kabla ya Kimbunga cha al Aqsa

    Nasser Kanani: Israel haitarejea katika kipindi cha kabla ya Kimbunga cha al Aqsa

    Sep 23, 2024 08:26

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja mlingano wa kistratijia katika eneo baada ya operesheni dhidi ya Uzayuni ya Kimbunga cha Al-Aqsa kuwa ulikuwa kwa manufaa ya Wapalestina na makundi ya muqawama. Amesema utawala wa Israel hautarejea katika hali uliyokuwa nayo kabla ya Kimbunga cha al Aqsa.

  • Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Saudi Arabia wakutana na kushauriana mjini New York

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Saudi Arabia wakutana na kushauriana mjini New York

    Sep 23, 2024 03:41

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamezungumzia hali mbaya ya Ukanda wa Gaza iliyosababishwa na kuendelea kwa mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na utawala katili wa Kizayuni.

  • Rais Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran: Hatupendi vita, tunatetea haki zetu

    Rais Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran: Hatupendi vita, tunatetea haki zetu

    Sep 18, 2024 02:43

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran haijawahi kuwa, na wala haitakuwa mwanzishaji vita vyovyote vile na akabainisha kwamba: "wiki ijayo tutatetea haki za wananchi wa Iran katika Umoja wa Mataifa".

  • Tehran, Beirut zajadili jinai mpya ya kigaidi ya Israel huko Lebanon

    Tehran, Beirut zajadili jinai mpya ya kigaidi ya Israel huko Lebanon

    Sep 17, 2024 23:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amelaani vikali hujuma mpya ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni iliyowalenga raia wasio na hatia nchini Lebanon.

  • Araghchi: Iran haijaipa Yemen makombora

    Araghchi: Iran haijaipa Yemen makombora

    Sep 17, 2024 04:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekanusha vikali madai yasiyo na msingi ya Wamagharibi kuwa eti Yemen imepokea makombora kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kulinda utambulisho wa Umma wa Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kulinda utambulisho wa Umma wa Kiislamu

    Sep 16, 2024 08:49

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kulinda utambulisho wenye thamani wa Umma wa Kiislamu ni dharura na kuongeza kuwa: "Kadhia ya 'Umma wa Kiislamu" haipaswi kusahaulika hata kidongo.

  • Qalibaf asisitizia umoja wa Waislamu katika kadhia ya Palestina

    Qalibaf asisitizia umoja wa Waislamu katika kadhia ya Palestina

    Sep 15, 2024 04:02

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitizia haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja na mshikamano katika suala la Palestina.

  • Iran: Mafanikio yetu katika uga wa teknolojia ni pigo kwa maadui

    Iran: Mafanikio yetu katika uga wa teknolojia ni pigo kwa maadui

    Sep 15, 2024 03:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hatua ya satelaiti ya utafiti ya Iran iliyopewa jina la "Chamran-1" kurushwa katika anga za mbali kwa mafanikio ni pigo kwa maadui wanaoliwekea taifa hili vikwazo visivyo na mantiki.

  • Azma ya Iran na Iraq ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Azma ya Iran na Iraq ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Sep 13, 2024 08:16

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na viongozi wa Iraq wamesisitiza nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.

  • Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air

    Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air

    Sep 12, 2024 23:00

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS