-
Utafiti wa IRIB: Wairani wengi wanaunga mkono msimamo wa mapambano dhidi ya Marekani na Israel
Apr 25, 2026 04:34Baada ya vita vya siku 40 vya muungano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran, utafiti wa kitaifa uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) umeonyesha kuendelea kusimama kidete kwa wananchi katika kuunga mkono vikosi vya ulinzi, mshikamano wa kitaifa na azma madhubuti ya kulinda uwezo wa nchi wa makombora na miundombinu ya kiulinzi.
-
Iran yaonya kuhusu mgogoro wa chakula duniani kutokana na vita vya kigaidi vya Marekani
Apr 25, 2026 04:25Waziri wa Kilimo wa Iran, Gholamreza Nouri, amesema kuwa mashambulizi na vitendo vya uchokozi vya Marekani vina madhara makubwa kwa usalama wa chakula duniani, na vinatoa kikwazo kikubwa katika kufanikisha lengo la “kutokomeza njaa.”
-
Vipi IRGC Imefikia Kuwa na Nguvu na Uwezo Unaoshuhudiwa Hivi Sasa?
Apr 23, 2026 19:05Maadhimisho ya mwaka huu ya kutimia miaka 48 ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC yametoa mguso zaidi katika duru za kisiasa na za vyombo vya habari kuliko ilivyowahi kushuhudiwa katika maadhimisho ya miaka iliyopita.
-
Iran Yalalamikia Matumizi Mabaya ya Ardhi na Anga ya Nchi 5 na Marekani
Apr 23, 2026 10:56Amir Saeed Iravani, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama, ametoa malalamiko makali kuhusu matumizi mabaya ya Marekani ya ardhi na anga ya nchi tano za eneo katika hujuma za kijeshi dhidi ya Iran. Nchi hizo ambazo zimeafiki ardhi zao kutumiwa kuishambulia Iran ni pamoja na Qatar, Kuwait, Bahrain, Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia.
-
Araqchi: Mashambulizi dhidi ya Iran ni chanzo cha ukosefu wa usalama katika Ghuba ya Uajemi
Apr 23, 2026 09:35Mwakilishi Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini, ambaye aliwasili Tehran kwa ajili ya mashauriano na viongozi wa Iran, amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran
Apr 21, 2026 09:11Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa wazi vitisho vipya vya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu kushambulia miundombinu ya Iran endapo matakwa ya Washington hayatatekelezwa.
-
Qalibaf: Hakuna mazungumzo chini ya vitisho, Iran iko tayari kufichua kadi mpya uwanjani
Apr 21, 2026 08:51Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema Tehran haitakubali kufanya mazungumzo na Washington chini ya kivuli cha vitisho.
-
Aljazeera: Trump anatafuta njia ya kutoka vitani kwa heshima
Apr 19, 2026 10:51Mwandishi wa kituo cha Aljazeera huko Washington anasema kuwa Rais Donald Trump Marekani anatafuta jinsi ya kutoka kwenye vita na Iran kwa njia ya heshima.
-
Wamarekani: Upungufu wa akili wa Trump umeongezeka
Apr 19, 2026 10:39Mshauri wa Mkuu wa zamani mkuu wa Ikulu ya White House wakati wa muhula wa kwanza wa Donald Trump ameonya kuwa upungufu wa akili wa rais wa Marekani umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Iravani: Silaha zilizotumiwa katika uvamizi dhidi ya Iran zilitoka kwenye maghala ya baadhi ya nchi za Kiarabu
Apr 15, 2026 08:08Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya Bahrain, akisema: Mabaki yaliyopatikana kutoka kwenye silaha zilizotumiwa katika mashambulizi ya miji ya Iran yanathibitisha kuwa silaha hizo zilitoka kwenye maghala ya baadhi ya nchi za kiarabu za Ghuba ya Uajemi.