-
Mkuu wa AEOI: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia
Oct 03, 2023 04:08Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia na inachofuatilia siku zote ni nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani.
-
Uturuki bado inatafuta fursa kwa kuendelea kukalia ardhi ya Syria
Oct 02, 2023 07:35Ankara imetangaza kwa mara nyingine kuwa serikali ya Uturuki itaanzisha tena mazungumzo yake na Iran na Russia kwa lengo la kuboresha uhusiano na Syria.
-
Shahriari: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha umma wa Kiislamu
Oct 02, 2023 03:12Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kurejeshwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumesaidia kuboreka umoja na matumaini katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran kujiunga na mfumo wa BRICS PAY ili kukwepa vikwazo vya Marekani
Oct 01, 2023 03:52Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf amesema Iran itajiunga na BRICS PAY, mfumo wa kibenki wa kielektroniki unaotumiwa na muungano wa BRICS wa mataifa yanayoinukia kiuchumi, ili kukwepa vizuizi vya kibenki vilivyosababishwa na vikwazo vya Marekani.
-
Rais wa Iran alaani mashambulizi pacha ya kigaidi Pakistan
Sep 30, 2023 01:16Rais Ebrahim Raisi wa Iran amelaani mashambulizi mawili ya kigaidi yaliuoua makumi ya watu katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan.
-
Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni
Sep 29, 2023 00:29Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewaandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu matamshi ya vitisho ya karibuni ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
-
Raisi: Kurushwa kwa mafanikio satalaiti "Nour 3" ni ishara nyingine ya kushindwa mradi wa vikwazo vya adui
Sep 28, 2023 04:22Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amepongeza kurushwa kwa mafanikio satalaiti Nour-3 katika obiti akikutaja kuwa ni ushindi wa taifa na ushahidi wa kushindwa mradi wa vikwazo na vitisho vya adui.
-
Jerusalem Post: Satalaiti ya "Nour 3" inaimarisha uwezo wa anga wa Iran
Sep 27, 2023 23:30Gazeti la Jerusalem Post la Israel limeandika kuwa, kurushwa angani Satalaiti Nour 3 ni sehemu ya mafanikio mapya ya kiteknolojia ambayo Iran inatumia kudhihirisha uwezo wake.
-
Iran yatilia mkazo kusitishwa hatua za mabavu dhidi ya nchi zinazostawi
Sep 27, 2023 12:56Mshauri Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza umuhimu wa kubadilishwa hali na mazingira ya kimataifa kupitia kukomesha hatua za mabavu za upande mmoja dhidi ya nchi zinazostawi duniani.
-
Spika: Uanachama wa Iran katika BRICS una manufaa ya kisiasa na kiuchumi
Sep 26, 2023 10:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kupewa uanachama Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kundi la BRICS kuna umuhimu mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na hata kijiografia.