-
Kan'ani: Mtazamo, misimamo ya Iran kwa Marekani haibadiliki
Jun 26, 2023 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mtazamo na misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu kwa Marekani ipo wazi kabisa na haibadiliki, na inaweza kubadilika tu iwapo Washington itakomesha kikamilifu mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya taifa hili.
-
Iran yalaani hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto Qur'ani Tukufu
Jun 24, 2023 06:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kizayuni cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Abdollahian: Kuimarisha uhusiano na majirani, kipaumbele cha Iran
Jun 22, 2023 03:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalipa uzito suala la kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa jirani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Raisi: Muqawama umefichua kuwa Israel haina uwezo wa kujihami
Jun 21, 2023 00:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kambi ya muqawama imeanika njozi na uwezo bandia wa kujihami wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Mapuuza ya Magharibi yameshadidisha mgogoro wa wakimbizi
Jun 21, 2023 00:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inajaribu kukwepa kubeba dhima ya mgogoro wa wakimbizi unaoshuhudiwa hivi sasa, na kwamba sera mbovu za Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazofaa kulaumiwa kwa mgogoro huo.
-
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Qatar ni ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani
Jun 20, 2023 06:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran ameonana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na wamejadiliama njia za kustawisha zaidi uhusiano baina yao na pia ushirikiano na uhusiano mzuri wa nchi za eneo hili zima.
-
Iran: Madola ya Kiislamu yachukue hatua za kukomesha jinai za Israel
Jun 19, 2023 06:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyaasa madola ya Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
"Kupanuka muqawama, chachu ya kuporomoka Israel"
Jun 18, 2023 03:54Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuendelea kuenea harakati za muqawama katika maeneo yote ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu ni chachu ya kusambaratika na kuporomoka kwa kasi utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
"Maadui wa Waislamu hasa Israel, wamehamakishwa na ushirikiano wa Iran, Saudia"
Jun 18, 2023 01:10Rais wa Iran amesema kuimarika uhusiano na ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumewahamakisha maadui wa Uislamu na Waislamu hususan utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Reuters: Mauzo ya mafuta ya Iran nje ya nchi yameweka rekodi
Jun 17, 2023 07:38Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, ununuzi wa mafuta kutoka Iran mwaka huu 2023 umeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.