-
Alamolhoda: Marekani inaihujumu Iran kwa kutumia udikteta wa vyombo vya habari
Jun 16, 2023 04:15Mke wa Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Marekani, ambayo ilikuwa ikiunga mkono tawala za kiimla hapa nchini huko nyuma, hivi sasa inaifanyia hujuma Jamhuri ya Kiislamu kwa kutumia udikteta wa vyombo vya habari.
-
Raisi: Kuimarika ushirikiano wa Iran na Cuba kunawahamakisha mabeberu
Jun 15, 2023 23:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema hatua ya kuendelea kuimarika na kupanuka ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Cuba inayahamakisha madola ya kibeberu na ya kiistikbari duniani.
-
Amir Abdollahian: Mazungumzo ya viongozi wa Iran na Nicaragua yamekuwa mazuri na yenye manufaa
Jun 15, 2023 08:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja mazungumzo kati ya viongozi wa Iran na Nicaragua kuwa mazuri na yenye manufaa kwa ajili ya kupanua na kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.
-
Rais Raisi: Muqawama, kupigania uadilifu na uhuru mataifa ya dunia kumewahamakisha mabeberu
Jun 15, 2023 03:05Rais wa Jamhuri ya Kiialamu ya Iran amesema kuwa, muqawama, kupigania uadilifu na uhuru mataifa ya dunia kumewahamikisha maadui na kuwalazimisha kurudi nyuma.
-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 14, 2023 22:53Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Ujerumani yanunua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 13, 2023 03:04Data zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya cha Eurostat zimefichua kuwa, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta kutoka Iran kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2018, licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Iran, kimbilio la kwanza la wakimbizi wa Kiafghani katika miaka miwili ya karibuni
Jun 12, 2023 02:57Shirika la Kimataifa wa Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa kituo cha kwanza cha kuwapokea wakimbizi kutoka Afghanistan katika kipindi cha miaka miwili ya karibuni.
-
Mauzo ya zana za kijeshi za Iran nje ya nchi yaongezeka mara 3
Jun 11, 2023 22:47Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema mauzo ya silaha na zana za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi yaliongezeka kwa asilimia 300 kwa mwaka wa Kiirani uliopita (uliomalizika Machi 20, 2023).
-
Iran yaiasa IAEA isitegemee taarifa za urongo za Israel
Jun 10, 2023 08:54Ofisi ya Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuwa na msimamo wa kitaalamu kuhusu mradi wa Iran wa nishati ya nyuklia, na kujiepusha na taarifa za urongo za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yalaani shambulizi la bomu lililoua, kujeruhi makumi msikitini Afghanistan
Jun 08, 2023 21:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana huko Afghanistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.