-
Kiongozi Muadhamu: Wamagharibi hawana muamana, miradi ya Iran isifungamanishwe nao
Jul 28, 2021 06:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mipango na miradi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipaswi kufungamanishwa na ushirikiano na nchi za Magharibi, kwani imedhihirika wazi wakati wa kipindi cha serikali inayomaliza muda wake hapa nchini kwamba, kuwategemea Wamagharibi hakuna faida yoyote.
-
Iran yavunja mtandao wa magaidi wa MOSSAD
Jul 27, 2021 21:02Vikosi vya Wizara ya Intelijensia ya Iran vimefanikiwa kusambaratisha mtandao wa magaidi wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) magharibi mwa nchi.
-
Iran: Tunafuatilia kwa karibu matukio yanayojiri Tunisia
Jul 27, 2021 20:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inafuatilia kwa karibu matukio ya kisiasa yanayoendelea kushuhudiwa hivi sasa nchini Tunisia.
-
Iran yasajili chanjo yake ya Corona COVIran Barekat katika WHO
Jul 24, 2021 20:52Mchakato wa kusajili chanjo ya kuzuia ugonjwa wa COVID-19 iliyoundwa hapa nchini Iran ya COVIran Barekat katika Shirika la Afya Duniani (WHO) umeanza.
-
Iran: Tumejitosheleza katika uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drone)
Jul 22, 2021 22:34Naibu Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imefikia hatua ya kujitosheleza kikamilifu katika uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drone).
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na waziri mwenzake wa Togo
Jul 21, 2021 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa Togo na nchi mbili hizi zimetilia mkazo wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili katika nyuga zote.
-
Sala ya Idul-Adhha yasaliwa kote nchini Iran kwa kuzingatia miongozo ya kiafya ya kujiepusha na corona
Jul 21, 2021 03:24Sala ya Idul-Adhha imesaliwa katika kila pembe ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo, huku waumini wakizingatia miongozo ya kiafya ya kujihadhari na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kenya
Jul 20, 2021 06:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitia kuimarisha uhusinao baina ya nchi mbili za Iran na Kenya wakati alipopokea hati ya utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Kenya mjini Tehran.
-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na harakati za kigaidi
Jul 20, 2021 02:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na hakati za kigaidi nchini humo.
-
Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine
Jul 16, 2021 22:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu propaganda chafu mpya za Marekani ndhidi ya Iran na kuishauri Washington ishughulikie masuala ya ndani ya nchi hiyo badala ya kuzitupia tuhuma nchi nyingine.