-
Kuhuishwa JCPOA kunategemea maamuzi magumu ya Marekani na Ulaya
Jul 02, 2021 22:15Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema sasa wakati umewadia kwa Marekani na nchi tatu za Ulaya kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya kuanza kufungamana tena kikamilifu na mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA.
-
Iran: Waliovunja ahadi wanapaswa kufanya maamuzi magumu
Jul 01, 2021 03:13Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wale ambao walivunja ahadi zao ndio wanaopaswa kubainisha iradi yao ya kisiasa na ndio wanaopaswa kuchukua maamuzi magumu.
-
Marais wa Malawi na Mauritania wamtumia Raeisi salamu za pongezi
Jun 30, 2021 22:56Marais wa nchi za Afrika za Malawi na Mauritania wamemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Hujjatul Islam Walmuslimin Ebrahim Raeisi wakimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran: Majeshi ajinabi yaondoke katika eneo
Jun 30, 2021 22:51Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Kamanda wa Jeshi la Majini la Ufaransa katika Kikao cha Majeshi ya Majini ya nchi za Kandokando ya Bahari ya Hindi (IONS) ambacho kimefanyika katika kisiwa cha Ufaransa cha Réunion kusini mwa Bahari ya Hindi.
-
Spika wa Bunge la Iran: AEOI haitaikabidhi IAEA video za taarifa zake
Jun 27, 2021 03:40Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) halitaukabidhi Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) video zilizonakili taarifa za taasisi hiyo ya Iran, kwa kuwa muhula uliokuwa umeainishwa umemalizika, wala haujarefushwa tena.
-
Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'
Jun 27, 2021 02:55Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mfumo mpya wa makombora wa Joshan utaanza kufanya kazi kabla ya kumalizika mwaka huu wa Kiirani.
-
Iran yaishauri Marekani iachane na turathi zilizofeli za Trump
Jun 26, 2021 23:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ingali inaamini kuwa ni jambo linalowezekana kufikia makubaliano katika mazungumzo ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, iwapo utawala wa sasa wa Marekani utaamua kuweka pembeni sera na turathi zilizogonga mwamba za aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Iran yakanusha madai kuwa iliomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Jun 25, 2021 22:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran haikuomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwamba madai yoyote yanayotolewa kuhusu suala hilo hayana msingi wowote.
-
Iran yataka kuondolewa vikwazo taifa la Syria
Jun 24, 2021 03:22Balozi na Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa iandae mazingira ya kuondolewa vikwazo vya kikatili dhidi ya taifa la Syria, ambavyo vimewaathiri mno wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran yazima jaribio la kushambuliwa shirika lake la nishati ya atomiki
Jun 23, 2021 22:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetibua njama za kuhujumiwa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya nchi hii mjini Karaj, nje kidogo ya mji mkuu Tehran.