-
Khatibzadeh: Ili kuhuisha JCPOA, ni dharura Marekani kuondoa kivitendo vikwazo dhidi ya Iran
Feb 19, 2021 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema njia pekee ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya Iran.
-
Chanjo ya Corona ya Sputnik V ya Russia kuanza kutegenezwa Iran
Feb 19, 2021 23:36Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, chanjo ya Corona au COVID-19 ya Sputnik V ya Russia sasa itaanza kutengenezwa hapa nchini.
-
Rais Rouhani: Iran haina mpango wa kutumia silaha za maangamizi ya umati
Feb 17, 2021 04:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii haijawahi kuwa na mpango wa kumiliki silaha za nyuklia wala kuzitumia.
-
Zarif: Matukio ya kimataifa hayaathiri uhusiano wa kistratijia wa Iran-China
Feb 16, 2021 22:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amepongeza 'ushirika wa kistratijia' wa Iran na China na kuongeza kuwa, matukio ya kimataifa hayawezi kuathiri urafiki baina ya washirika hawa wawili.
-
Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi
Feb 16, 2021 22:56Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo kuu la mazoezi mseto ya usalama wa baharini katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi ni kufikia usalama jumla kieneo. Aidha ameongeza kuwa, Jeshi la Majini la India sasa litajiunga na majeshi ya majini ya Iran na Russia katika mazoezi hayo.
-
Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo
Feb 16, 2021 00:05Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi vinaweza kuimarishwa tu kupitia ushirikiano wa mataifa ya eneo hili na wala si kwa uingiliaji wa madola ajinabi.
-
Araqchi: JCPOA haina maana yoyote iwapo vikwazo dhidi ya Iran havitaondolewa
Feb 13, 2021 05:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA hayatakuwa na maana wala thamani yoyote iwapo vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu havitaondolewa.
-
Rouhani: Kuielewa Qurani Tukufu, ndio ufunguo wa kuongoka vijana
Feb 13, 2021 07:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana.
-
Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo
Feb 12, 2021 04:13Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Doha, Qatar ameipongeza nchi hiyo kwa kufanya juhudi za kuanzisha mchakato wa kieneo wa kutatua migogoro ya eneo hili.
-
Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani
Feb 11, 2021 08:59Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa hili halijashuhudia nia njema wala mabadiliko ya kivitendo ya sera za Marekani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.