-
Iran yapeleka Denmark mashine za kuzalisha barakoa
May 28, 2020 03:27Makamu wa Rais wa Iran wa Masuala ya Sayansi na Teknolojia amesema Jamhuri ya Kiislamu imepeleka nchini Denmark mashine za kuzalisha barakoa za kujikinga virusi vya corona.
-
Mohammad Bagher Ghalibaf achaguliwa kuwa Spika mpya Bunge la Iran
May 28, 2020 02:52Mohammad Bagher Ghalibaf ndiye spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Zoezi la kumchagua spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu limefanyika leo asubuhi.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu
May 27, 2020 21:53Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 11:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.
-
Rais wa Iran aidhinisha sheria ya kukabili jinai za Israel
May 26, 2020 23:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameidhinisha kuwa sheria, muswada wa kukabiliana na uhasama na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.
-
Russia: Wapinzani wa JCPOA wanakusudia kudunisha ushirikiano wa Iran na IAEA
May 25, 2020 21:56Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna nchini Austria amesema wapinzani wa makubaliano ya nyuklia yaliyosainiwa baina ya Iran na madola makubwa duniani mwaka 2015 wanalenga kudunisha na kudhalilisha muamana na ushirikiano baina ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Sisitizo la Venezeula kuhusu kutokuwa na maana vitisho vya Marekani dhidi ya meli za mafuta za Iran
May 25, 2020 06:01Wakati wa utawla wa rais Donald Trump wa Marekani, sera za mashinikizo ya pande zote dhidiya Venezeula zimeongezeka kwa kuwekewe vikwazo vingi nchi hiyo lengo likiwa ni kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro na kumleta madarakani kinara wa wapinzani Juan Guaid ambaye ni kibaraka wa Washington.
-
Zarif: Natumai ulimwengu wa Kiislamu utapata ushindi dhidi ya maadui
May 24, 2020 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake kuwa ulimwengu wa Kiislamu utaibuka na ushindi dhidi ya maadui.
-
Brig. Jen. Hajizadeh: Utayarifu wa kujihami Iran upo katika kiwango cha juu zaidi
May 24, 2020 06:16Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, utayarifu wa kulihami na kulilinda wa taifa la Iran hivi sasa upo katika kiwango cha juu zaidi katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Uingereza yachukizwa na hotuba ya Kiongozi Muadhamu ya kuitetea Palestina
May 23, 2020 22:21Hotuba ya kistratijia na ya kutia matumaini ya Kiongozi Muadhamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika kuitetea Palestina na kufichua njama chafu za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake, imewatia hasira viongozi wa Uingereza.