-
Bei za mafuta na dhahabu zapanda duniani kufuatia mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 08:45Bei za mafuta na dhahabu katika soko la kimataifa kote duniani zimepanda kufuatia kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Joe Biden amkosoa vikali Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 05:05Joe Biden ambaye ni miongoni ma wanasiasa wa chama cha Democratic wanaochuana kupata tiketi ya kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi ujao wa rais utakaofanyika mwaka huu nchini Marekani amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Meja Jenerali Mousavi: Iran itatoa jibu kali na la haraka ikichokozwa
Jan 02, 2020 23:22Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikosi vya Jeshi la Iran viko tayari kutoa jibu kali na la haraka kwa aina yoyote ya vitisho na chokochoko za adui.
-
Wahadhari na wanazuoni wa Iran wafanya kikao cha kumuunga mkono Sheikh Zakzaky
Jan 02, 2020 09:47Wanazuoni wa Kiislamu, maprofesa na wahadhiri wa Vyuo Vikuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamefanya kikao cha kuonyesha uungaji mkono wao kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Iran yaitaka Marekani iachane na sera zake haribifu katika eneo
Jan 01, 2020 04:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani juu ya matokeo mabaya ya hatua zake haribifu na zisizo na mantiki katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rais Rouhani awatumia viongozi wenzake duniani salamu za mwaka mpya 2020 Miladia
Jan 01, 2020 00:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi marais na viongozi na mataifa ya Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa Miladia wa 2020.
-
Iran na China zajadili njia za kuinusuru JCPOA
Dec 31, 2019 04:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China wamekutana mjini Beijing na kujadiliana juu ya njia na mikakati ya kuyanusuru makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sayyari: Mazoezi ya kijeshi ya Iran, Russia na China yanafanyika chini ya uongozi wa Iran
Dec 28, 2019 23:23Mratibu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China yanafanyika chini ya uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazoezi ya kijeshi ya Iran, Russia na China yanaendelea kama ilivyopangwa
Dec 28, 2019 09:59Mazoezi makubwa ya majeshi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China leo yameingia siku ya pili na yanaendelea kama ilivyopangwa.
-
Mousavi: Wadau wote duniani wana mchango katika zama za baada ya Magharibi
Dec 28, 2019 00:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Hivi sasa, sisi tunaishi katika dunia ya baada ya enzi za Magharibi, ambapo wadau wote duniani wana mchango katika mahusiano ya zama hizo."