Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Bloomberg: Vikwazo vya Marekani vimefali, uchumi wa Iran unaimarika

    Bloomberg: Vikwazo vya Marekani vimefali, uchumi wa Iran unaimarika

    Oct 26, 2019 23:09

    Jarida la kimataifa la biashara la Bloomberg limethibitisha kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimefeli na kwamba uchumi wa nchi hii karibuni utaanza kuimarika.

  • Sisitizo la Trump la kushadidisha makali katika vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran

    Sisitizo la Trump la kushadidisha makali katika vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran

    Oct 26, 2019 08:32

    Vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran vilitekelezwa katika marhala mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka jana baada ya Trump kutangaza kabla yake mnamo tarehe 8 Mei kuitoa Marekani katika makubaliano hayo ya nyuklia. Vikwazo hivyo vilikuwa vya upande mmoja; na vimekiuka sheria za kimataifa likiwemo azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Oct 24, 2019 13:11

    Waziri Mkuu wa Japan ametoa mwito kwa nchi zote husika kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.

  • Haki za Binadamu; mchezo mchafu wa siasa za Magharibi dhidi ya Iran

    Haki za Binadamu; mchezo mchafu wa siasa za Magharibi dhidi ya Iran

    Oct 24, 2019 08:45

    Moja ya silaha zinazotumiwa na Magharibi katika kuamiliana na nchi zenye misimamo huru ni kutumia maudhui ya haki za binadamu; na katika hilo, mtazamo wa upande mmoja tu na wa Kimagharibi kwa maudhui hiyo katika jamii ambayo ni ya Kiislamu, inayojitawala na yenye misimamo huru ni aina mojawapo ya undumakuwili unaombatana na siasa chafu.

  • Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA

    Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA

    Oct 23, 2019 23:19

    Rais Hassan Rouhani amewashangaa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaodhani kuwa, kwa kuhujumu na kukiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu hapa nchini.

  • Makeke ya Trump mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Makeke ya Trump mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Oct 22, 2019 08:20

    Donald Trump Rais wa Marekani mwenye kubwabwaja sana tangu aingie ikulu ya White House amechukua mkondo wa sera za chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na utendaji wake umejikita katika mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Tehran ili kwa njia hiyo aweze kulifanya taifa hili lisalimu amri na kukubali matakwa ya Washington.

  • Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto za vijana wa Iran

    Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto za vijana wa Iran

    Oct 22, 2019 04:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mashinikizo, vikwazo na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto na mafanikio ya vijana wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Larijani: Iran imeandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza nchini

    Larijani: Iran imeandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza nchini

    Oct 22, 2019 00:38

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mchakato wa kuandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza hapa nchini umekamilika na kusisitiza kwamba, uhusiano wa pande mbili unahitaji kupigwa jeki katika ushirikiano wa kiuchumi.

  • Jeshi la Marekani  linawahamisha magaidi wa ISIS kutoka Syria hadi Iraq

    Jeshi la Marekani linawahamisha magaidi wa ISIS kutoka Syria hadi Iraq

    Oct 21, 2019 04:42

    Jeshi la Marekani linawabeba mamia ya magaidi wakufurishaji wa ISIS (Daesh) kutoka jangwa la al-Jazira kaskazini mashariki mwa mkoa wa Hasakah Syria na kuwaingiza katika nchi jirani ya Iraq.

  • Iran inajitegemea kikamilifu katika sekta ya nyuklia

    Iran inajitegemea kikamilifu katika sekta ya nyuklia

    Oct 21, 2019 04:18

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa inajitegemea kikamilifu katika shughuli zake za nyuklia na haipokei msaada wowote wa kigeni katika uga huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS