-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu
May 08, 2019 02:32Utawala wa Marekani ndio unaoshikilia rekodi ya kuziwekea nchi nyingine vikwazo tofauti tofauti.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela: Inatupasa kujifunza kutoka Iran
May 07, 2019 20:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela sambamba na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika uga wa kijeshi na nishati kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Caracas inapaswa kujifundisha masomo mengi kutoka Iran.
-
Afisa wa zamani wa Marekani: Serikali ya Trump inaficha ukweli wa nafasi muhimu ya Iran katika kupambana na ugaidi
May 07, 2019 09:13Mshauri wa zamani katika masuala ya kimataifa nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inafanya njama za kuficha nafasi chanya na muhimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kusimamisha mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina
May 07, 2019 03:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuchua hatua zote kuhakikisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina.
-
Iran na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wao wa kiulinzi
May 06, 2019 06:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimetoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa muda mrefu wa kiulinzi na kijeshi baina yao.
-
Larijan: Iran na Nigeria kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara
May 05, 2019 23:16Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mazingira yameandaliwa kwa ajili ya kuimarisha na kupanua ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria katika uga wa biashara.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havina athari za kisiasa kwa Iran
May 05, 2019 09:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote ya kisiasa kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA
May 04, 2019 06:38Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu sana katika fremu ya kulinda amani na usalama wa kimataifa; hata hivyo tarehe 8 mwezi Mei mwaka jana Marekani ilijitoa kwenye makubaliano hayo. Serikali ya Trump mwezi Agosti na Novemba mwaka 2018 katika marhala mbili iliiwekea tena Iran vikwazo vya nyuklia; na ingali inaendeleza mashinikizo ya vikwazo dhidi ya Tehran.
-
IMF: Licha ya vikwazo, Iran itakuwa na akiba ya zaidi ya dola bilioni 100 mwaka huu
May 03, 2019 22:22Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetabiri kuwa, akiba ya fedha za kigeni ya Iran mwaka 2019 itapindukia dola bilioni 100 licha ya kuweko vikwazo vya pande zote vya Marekani dhidi ya taifa hilo.
-
Shirika moja la Afrika Kusini: Hatufungwi na mipaka yoyote katika kushirikiana na Iran
May 03, 2019 09:52Mkurugenzi mmoja wa mauzo wa shirika la JDA la Afrika Kusini amesema kuwa, licha ya kuweko vikwazo dhidi ya Tehran, lakini hakuna mipaka yoyote inayokwamisha ushirikiano wa moja kwa moja baina yake na mashirika mbalimbali ya Iran.