-
Waziri wa Ulinzi: Iran inajiimarisha kiulinzi ili kuzima uchokozi wa maadui
Mar 13, 2019 04:23Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa kiulinzi wa nchi hii utaendelezwa na kupanuliwa zaidi na kwa kasi kwa shabaha ya kuzuia chokochoko za maadui.
-
Zarif: Marekani haiwezi kuzuia kustawi uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 12, 2019 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani haina uwezo wa kusimamisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Iraq, na kwamba serikali ya Baghdad imejenga uhusiano huo katika misingi ya matakwa na maslahi ya taifa hilo.
-
Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote
Mar 10, 2019 23:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuwa na mvutano na nchi yoyote ile ikiwemo Saudi Arabia.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika
Mar 10, 2019 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.
-
Kamati ya Pamoja ya Iran na Afrika Kusini; kikao kwa ajili ya mashauriano ya kisiasa na kiuchumi
Mar 09, 2019 08:17Kamati ya Tisa ya Kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini imefanya kikao nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na Sayyid Abbas Araqchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Bi Reginah Mhaule, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Anayehusika na Masuala ya Ushirikiano na Uhusiano wa Kimataifa.
-
Brigedia Jenerali Momeni: Iran imekamata tani 806 za mihadarati mwaka 2018
Mar 09, 2019 03:41Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amesema kuwa, mwaka 2018 Tehran ilikamata tani 806 za madawa ya kulevya.
-
Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu
Mar 08, 2019 11:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif ameichapisha tena barua ya wanasayansi 66 wa tiba wa Iran kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kuitaka jamii ya kimataifa ilaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran hususan katika sekta ya utabibu.
-
Afrika Kusini ina hamu ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran
Mar 08, 2019 04:32Spika wa Bunge la Kitaifa la Afrika Kusini ameeleza juu ya utayarifu wa nchi yake wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League haina maana wala itibari
Mar 08, 2019 04:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ni ya kipuuzi, isiyo na itibari na ambayo ni chachu ya fitina na migawanyiko katika eneo.
-
Iran na Iraq zakaribia kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano
Mar 07, 2019 07:34Spika wa bunge la Iraq katika ziara yake hapa Tehran ameonana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kujadili kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili.