-
Wendy Sherman: Iran imechagua stratejia ya muqawama
Aug 06, 2020 03:37Afisa wa zamani wa Marekani amezitaja siasa za White House dhidi ya Iran kuwa zisizo na natijana na kusisitiza kuwa Iran imechagua stratejia ya muqawama.
-
UN yasisitiza kuchungwa usalama wa ndege za abiria kufuatia chokochoko za ndege za kivita za Marekani
Jul 25, 2020 03:45Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, usalama wa safari za ndege za abiria inapasa uheshimiwe na nchi zote.
-
Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani katika kilele cha vita dhidi ya Corona nchini Iran
Mar 09, 2020 04:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Dunia haiwezi tena kubakia kimya wakati 'ugaidi wa kiuchumi' wa Marekani sasa umeunganishwa na 'ugaidi wa kimatibabu' dhidi ya taifa la Iran."
-
CIA yakiri kufeli siasa za utwishaji mazungumzo kupitia mashinikizo dhidi ya Iran
Feb 15, 2020 01:16Shirika la Ujasusi la Marekani CIA limekiri kwamba siasa za vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi dhidi ya Iran zimefeli na kwamba Tehran haipo tayari kufanya mazungumzo na Washington chini ya mashinikizo kwa mazingira yoyote yale.
-
Sababu za mafanikio ya Shahidi Soleimani katika mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
Feb 14, 2020 09:14Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amefanya mazungumzo na televisheni ya al Mayadeen akieleza mchango na nfasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunda harakati hiyo ya mapambano na mafanikio ya Kamanda Qassem Soleimani.
-
Kituo cha Utafiti cha Marekani: Tunapasa kujifunza kutokana na shambulizi la makombora la Ain Assad
Feb 11, 2020 04:15Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kilichofuatilia shambulizi la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya askari wa Kimarekani ya Ain Assad nchini Iraq, kimekiri juu ya uwezo mkubwa wa makombora wa Iran katika kusababisha hasara na kulenga shabaha kwa ustadi.
-
Sisitizo la Ufaransa la kupinga Umoja wa Ulaya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 30, 2020 22:52Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Mei mwaka 2018 alichukua uamuzi wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo ya kimataifa, hatua ambayo ilikwenda sambamba na kuiwekea Iran mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa.
-
Marekani na ugaidi wa kiserikali; tishio la kumuua kigaidi kamanda mpya wa kikosi cha Quds cha IRGC
Jan 24, 2020 23:43Baada ya jinai ya Marekani ya kumuua kinyume cha sheria na kiuwoga Luteni Jenerali Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq maarufu kama al Hashd al Shaabi pamoja na watu wengine wanane mnamo Januari 3 2020 katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Baghdad, sasa utawala wa Trump umetoa tishio jipya la ugaidi.
-
Afisa wa zamani wa White House: Trump ataifanya Iran ijitoe NPT
Jan 20, 2020 20:46Afisa mmoja wa zamani wa Ikulu ya Marekani, White House ametahadharisha kwamba, siasa mbovu na ghalati za rais wa nchi hiyo Donald Trump zinaisukuma Iran kwenye kujitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.
-
Ujerumani: Marekani imeshindwa katika makabiliano yake na Iran
Jan 19, 2020 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amekosoa siasa za uhasama za White House dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu ya Washington dhidi ya Tehran hazina natija.