Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • 30,000 wafurushwa Fallujah Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita

    30,000 wafurushwa Fallujah Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita

    Jun 20, 2016 00:54

    Baraza la Wakimbizi la Norway limesema kwa akali watu 30,000 wamelazimika kuyahama makazi yao katika mji wa Fallujah nchini Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita kutokana na kushtadi mapigano katika mji huo wa kistratajia kati ya vikosi vya jeshi na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

  • Iran yaipongeza Iraq kufuatia kukombolewa Fallujah

    Iran yaipongeza Iraq kufuatia kukombolewa Fallujah

    Jun 18, 2016 08:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameipongeza serikali na watu wa Iraq kufuatia kukombolewa mji wa kati wa Fallujah kutoka kwa magaidi wa kundi la wakufurishaji wa ISIS au Daesh.

  • Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq

    Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq

    Jun 18, 2016 06:26

    Mkanda huu wa video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, unaonesha namna kikosi maalumu cha Iraq kinavyowatia mbaroni kwa mkupuo magaidi kadhaa wa Daesh mjini Fallujah wakiwa wamejificha kwenye kibanda kimoja cha udongo...

  • Al-Abadi: Daesh haina nafasi katika ardhi ya Iraq

    Al-Abadi: Daesh haina nafasi katika ardhi ya Iraq

    Jun 18, 2016 02:38

    Haider al-Abadi, Waziri Mkuu wa Iraq amepongeza hatua ya kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Fallujah toka mikononi mwa Daesh (ISIS) na kusema kuwa kundi hilo la kigaidi na kitakfiri halina nafasi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Sheikh Kubais: Netanyahu ndio anayewasimamia Daesh

    Sheikh Kubais: Netanyahu ndio anayewasimamia Daesh

    Jun 12, 2016 22:14

    Mmoja wa Mamufti watajika wa Kisuni mwa Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh linadhibitiwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iraq yaitaka Saudia itoe maelezo kwa kulisaidia kifedha kundi la kigaidi la Daesh

    Iraq yaitaka Saudia itoe maelezo kwa kulisaidia kifedha kundi la kigaidi la Daesh

    Jun 12, 2016 03:04

    Serikali ya Iraq imelalamikia misaada ya kifedha inayokusanywa na baadhi ya makundi nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kulisaidia kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq

    Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq

    Jun 11, 2016 02:36

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la hujuma za kitatili na za ulipizaji kisasi za Daesh (ISIS), wanachama wa kundi la hilo la kigaidi na kitakfiri wamewaua kwa kufyatulia risasi raia zaidi ya 30 magharibi mwa mji wa Fallujah, mkoa wa al-Anbar.

  • Kinara wa ISIS, Abu Bakr Baghdadi, ajeruhiwa  vitani Iraq

    Kinara wa ISIS, Abu Bakr Baghdadi, ajeruhiwa vitani Iraq

    Jun 10, 2016 09:41

    Duru nchini Iraq zinadokeza kuwa kinara wa kundi la kigiaid la ISIS (Daesh), Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abu Bakr al-Bahgdadi, amejeruhiwa katika hujuma ya ndege za kivita.

  • Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani

    Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani

    Jun 09, 2016 23:19

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia nakala za Qur'ani tukufu kutekeleza mashambulizi yake ya mabomu katika mji wa Fallujah nchini Iraq.

  • Iraq yaunga mkono kuwepo washauri wa kijeshi wa Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Iraq yaunga mkono kuwepo washauri wa kijeshi wa Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Jun 08, 2016 23:01

    Msemaji wa serikali ya Iraq amesisitiza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran walioko Iraq walitumwa nchini humo kufuatia ombi la Iraq na kwa uratibu wa Baghad kwa ajili ya kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS