-
Waziri Mkuu wa Iraq: Ziara ya Arubaini, imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi
Oct 19, 2019 23:05Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kwamba, mapinduzi ya Imam Hussein (as) ni mapinduzi dhidi ya kukengeuka na kufanya dhulma na kwamba ziara ya Arubaini ya mjukuu huyo wa Matume (saw) imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi.
-
Bashar Assad: Syria itajibu kisheria mashambulizi ya Uturuki
Oct 17, 2019 23:57Rais Bashar al Assad wa Syria amesema hadi sasa nchi yake imeshatoa jibu kwa mashambulizi ya Uturuki na magaidi waitifaki wa Uturuki na kuongeza kuwa Syria itatumia uwezo wake wote wa kisheria kujibu mashambulizi dhidi yake.
-
Iraq: Tutakabiliana kwa aina yoyote na hatua za kuibua farqa katika Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 17, 2019 23:56Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Baraza la Mkoa wa Najaf nchini Iraq amesema kuwa, serikali ya inchi hiyo itachukua hatua kali dhidi ya hatua yoyote ya kuibua tofauti katika marasimu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
SAUTI, Propaganda za BBC dhidi ya Mashia zaendelea kupondwa, Sheikh Taqee Zakaria aelezea njama zao dhidi ya Uislamu
Oct 11, 2019 13:18Baada ya Shirika la Utangazaji nchini Uingereza BBC kutoa video iliyojaa chuki, ghilba na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia, Waislamu mbalimbali duniani wameendelea kulilaani vikali shirika hilo ambalo lina historia nyeusi katika kueneza chuki na tofauti kati ya jamii mbalimbali wakiwemo Waislamu duniani.
-
Abbas Mousavi: Daima Iran itaendelea kuwa pamoja na serikali na taifa la Iraq
Oct 06, 2019 23:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Iraq na kusema kuwa, Tehran daima itakuwa pamoja na serikali na wananchi wa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq aondoa sheria ya kutotoka nje
Oct 05, 2019 03:59Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kuondolewa sheria ya kutotoka nje ambayo ilikuwa imeanza kutekelezwa kufuatia maandamano na ghasia katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo.
-
Harakati ya Kiislamu Iraq: Marekani ina mkono katika machafuko ya Iraq
Oct 04, 2019 23:08Harakati ya Kiislamu nchini Iraq imetangaza kuwa, serikali ya Marekani inahusika na machafuko ya sasa nchini humo kutokana na kutoridhishwa kwake na siasa za serikali ya Baghdad.
-
Usalama warejea katika mji mkuu wa Iraq baada ya machafuko
Oct 04, 2019 08:44Usalama umerejea katika mji mkuu wa Iraq Baghdad, baada ya machafuko ya siku kadhaa.
-
Iraq yatangaza marufuku ya kutembea mjini Baghdad kudhibiti ghasia
Oct 03, 2019 04:25Waziri Mkuu wa Iraq, Adil Abdul Mahdi ametangaza marukufu ya kutembea watu na magari katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad kuanzia alfajiri ya leo Alkhamisi hadi hapo baadaye.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Israel ndiyo inayoishambulia Hashdu Shaabi
Oct 01, 2019 04:26Waziri Mkuu wa Iraq ameubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutekeleza wimbi la mashambulizi dhidi ya harakati ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu ya Hashdu Shaabi.