-
Ejei: Sera za ndani na nje za Iran zitaendelea kuwa na nguvu zaidi kuliko hapo awali
May 26, 2024 07:23Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na Mkuu wa Baraza Kuu la Mahakama la Iraq kuwa; Sera za ndani na nje za Iran zitaendelea kuimarika zaidi kuliko hapo awali.
-
Hizbullah, Harakati ya Muqawama Iraq zashambulia ngome za Israel
May 24, 2024 07:22Wanamapambano wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq wamefanya operesheni tofauti dhidi ya kambi na ngome za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel, katika maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu mwaka 1948, kwa ajili ya kulipiza kisasi cha vita vya umwagaji damu vya Israel dhidi ya Gaza.
-
Muqawama wa Iraq washambulia maeneo ya kistratajia ya Israel, Eilat
May 10, 2024 07:24Harakati ya Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia maeneo ya kistratajia ya Israel katika mji wa Eilat, ulioko kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Vyombo vya habari Iraq vimekatazwa kutumia jina 'Israel', vinauita 'Utawala wa Kizayuni'
May 06, 2024 02:31Vyombo vya habari vya Iraq vimeacha kutumia neno "Israel" kumaanisha utawala wa Tel Aviv na badala yake vinatumia msamiati "Utawala wa Kizayuni" katika hatua ya kuonyesha mshikamano na Wapalestina kwa miezi kadhaa sasa.
-
Kataaib Hizbullah ya Iraq yaanzisha tena mashambulio dhidi ya askari wa Marekani
Apr 22, 2024 06:19Vikosi vya Muqawama wa Iraq vimetangaza kuwa, vimeanza tena kutekeleza operesheni za mashambulio dhidi ya vikosi vya majeshi ya Marekani.
-
Wanamuqawama wa Iraq washambulia maeneo 5 ya utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2024 07:49Ripoti kutoka Iraq zinasema kuwa wapiganaji wa Muqawama wa Kiislamu wa Iraq wameshambulia maeneo matano ya Israel katika kuwaunga mkono raia wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza, ambao wanakabiliwa na vita vya kikatili na mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
VIDEO: Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia Haifa kulipiza kisasi cha jinai za Wazayuni Ghaza
Apr 03, 2024 07:08Makukndi ya Muqawa wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameshambulia kambi ya jeshi la anga ya Tel Nof ya utawala wa Kizayuni kwenye mji wa Haifa ili kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia kwa droni makao makuu ya wizara ya masuala ya kijeshi ya Israel
Mar 24, 2024 06:36Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia makao makuu ya wizara ya masuala ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia ndege isiyo na rubani mapema leo Jumapili.
-
Muqawama wa Iraq washambulia uwanja wa ndege Tel Aviv
Mar 21, 2024 02:53Kwa mara nyingine tena wanamuqawama wa Iraq wameshambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion katika mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv.
-
Muqawama wa Iraq: Milango ya kuzimu itafunguka; watoa kauli ya mwisho kwa vikosi vamizi vya Marekani
Mar 17, 2024 10:57Baada ya wiki moja ya kukaa kimya kimkakati, moja ya makundi ya harakati kubwa ya muqawama ndani ya kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq cha Hashdu al Shaabi limetangaza wazi msimamo wake kuhusu masuala muhimu ya usalama wa taifa.