-
Iran na Iraq zasisitizia haja ya kusimamishwa mauaji ya kimbari Gaza
Mar 13, 2024 07:46Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Iraq wametoa mwito wa kuchukua hatua zaidi hasa za kisiasa kwa ajili ya kusimamisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Muqawama wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya maeneo ya Wazayuni + VIDEO
Mar 07, 2024 02:30Makundi ya muqawama wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya utawala wa Kizayuni kwa kutumia droni (ndege zisizo na rubani) na kwamba mashambulizi hayo yataendelea hadi Israel itakapokomesha mashambulio yake dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Kauli moja ya mirengo ya kisiasa ya Iraq kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini mwao
Feb 27, 2024 02:31Qasim al-Araji, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Iraq amesisitiza kuwa mirengo yote ya kisiasa ya nchi hiyo yanakubaliana kwa kauli moja kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini humo.
-
Kan'ani: Vitendo vya kigaidi vya Marekani vinahudumia malengo ya Israel
Feb 09, 2024 07:40Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hatua ya jeshi la magaidi la Marekani ya kumuuwa shahidi mmoja wa viongozi wa harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya Iraq ni katika mlolongo wa kudumisha himaya na uungaji mkono kamili wa serikali ya Marekani kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi
Feb 04, 2024 02:37Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.
-
Taarifa ya Jeshi la Syria: Mashambulizi ya Marekani yanalenga kulirejesha kundi la Daesh
Feb 03, 2024 12:26Wizara ya Ulinzi ya Syria imesema leo kuwa mashambulizi ya jana ya Marekani katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na Iraq yametekelezwa katika maeneo ambako jeshi la Syria linaendelea kupambana dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Iraq yatoa onyo baada ya US kufanya mashambulizi ya anga nchini humo
Feb 03, 2024 07:28Serikali ya Iraq imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani dhidi ya maeneo kadhaa ya nchi hiyo na nchi jirani yake Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimekiuka mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Tangazo la Marekani la kuwa tayari kwa mazungumzo ya kuhitimisha kuwepo kwake kijeshi nchini Iraq
Jan 26, 2024 07:57Afisa mmoja wa Marekani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema, katika barua ambayo balozi wa Marekani mjini Baghdad, Alina Romanovsky aliiwasilisha siku ya Jumatano kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hossein, Washington imetangaza kuwa iko tayari kuanza mazungumzo na Baghdad ya kuhitimisha uwepo kijeshi wa nchi hiyo na washirika wake katika ardhi ya Iraq.
-
Baghdad yalaani mashambulizi ya makombora ya Marekani dhidi ya Iraq
Jan 25, 2024 03:27Msemaji wa Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iraq amelaani mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani dhidi ya vituo na ngome za Jeshi la Iraq na makundi ya muqawama yanayopambana na ugaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wanamuqawama wa Iraq wakishambulia kituo cha jeshi la Marekani kwa maroketi na makombora 40
Jan 21, 2024 11:26Vikosi vya Muqawama wa Iraq vimekishambulia kwa maroketi na makombora 40 kituo cha wanajeshi vamizi wa Marekani cha A'inul-Assad kilichoko kwenye mkoa wa Al-Anbar.