-
Jenerali Qaani: Vijana wa Palestina wametoa pigo kwa Wazayuni
Jul 05, 2023 07:17Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amewapongeza vijana wa Palestina kwa kupambana kishujaa na kupata ushindi mkabala wa Wazayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran: Mapatano ya amani na Israel hayawezi kukomesha ukatili wa utawala huo
Jul 04, 2023 00:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa mji wa Jenin, huko kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Hizbullah yaitia wahaka Israel
Jul 01, 2023 05:52Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linatiwa wasi wasi na mifumo ya ulinzi wa anga ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Mashirika: Ni kosa kutoiweka Israel kwenye orodha ya fedheha ya UN
Jun 23, 2023 07:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosolewa vikali na mashirika ya kutetea haki za binadamu kwa kutoliweke jina la utawala haramu wa Israel kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti Nablus, wachoma moto Qurani
Jun 23, 2023 06:24Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali ya kufurutu ada wamevamia msikiti mmoja na kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika mji wa Nablus, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina 3 kwa droni Ukingo wa Magharibi
Jun 22, 2023 03:24Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendeleza umwagaji damu kwa kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika shambulizi la ndege isiyo na rubani (droni) huko kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Wazayuni kadhaa waangamizwa katika shambulizi la kulipiza kisasi
Jun 21, 2023 08:38Makundi ya muqawama ya Palestina yamefanya operesheni ya ulipizaji kisasi na kuwaangamiza Wazayuni wanne na kujeruhi wengine wanne karibu na Ramallah katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Raisi: Muqawama umefichua kuwa Israel haina uwezo wa kujihami
Jun 21, 2023 00:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kambi ya muqawama imeanika njozi na uwezo bandia wa kujihami wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jeshi la Israel laua na kujeruhi makumi ya Wapalestina Jenin
Jun 19, 2023 07:03Jeshi la utawala wa Kizayuni Israel limeua na kujeruhi makumi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
HAMAS: Israel inataka kuwafunga jela watoto zaidi wa Palestina
Jun 18, 2023 04:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani njama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kupasisha sheria inayoruhusu kufungwa jela watoto wadogo wa Kipalestina wa kuanzia miaka 12.