Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wataalamu wa UN: Israel iwajibishwe kwa mauaji ya Khader Adnan

    Wataalamu wa UN: Israel iwajibishwe kwa mauaji ya Khader Adnan

    May 04, 2023 04:47

    Wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa wametaka Israel iwajibike kwa mauaji ya Khader Adnan, kiongozi Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ambaye alikata roho na kufa shahidi akiwa anashikiliwa katika jela ya Israel kufuatia mgomo wa kususia kula kwa muda wa siku 87.

  • Kamanda: Israel itapata jibu kali ikithubutu kuishambulia Iran

    Kamanda: Israel itapata jibu kali ikithubutu kuishambulia Iran

    Apr 27, 2023 06:22

    Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makombora ya Iran yako tayari kulenga kitovu cha utawala wa Kizayuni wa Israel iwapo utawala huo au nchi yoyote itajaribu kutishia usalma wa anga ya Iran.

  • Upatanishi wa Wazayuni Sudan; kisingizio kingine cha kujipenyeza

    Upatanishi wa Wazayuni Sudan; kisingizio kingine cha kujipenyeza

    Apr 26, 2023 07:28

    Katika hali ambayo mgogoro wa Sudan pamoja na vita vinaendelea kushuhudiwa, utawala haramu wa Israel umewaalika majerali mahasimu wa Sudan kwenda Tel Aviv kwa ajili ya upatanishi.

  • UN yatahadharishwa: Tafsiri ya 'chuki dhidi ya Uyahudi' isitumiwe kudhibiti ukosoaji dhidi ya unyama wa Israel

    UN yatahadharishwa: Tafsiri ya 'chuki dhidi ya Uyahudi' isitumiwe kudhibiti ukosoaji dhidi ya unyama wa Israel

    Apr 22, 2023 08:36

    Zaidi ya mashirika 100 ya kutetea haki za binadamu na haki za kiraia yameuonya Umoja wa Mataifa dhidi ya matumizi ya tafsiri ya chuki dhidi ya Wayahudi ambayo inaweza kutumiwa kuzuia ukosoaji wa uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kudhoofisha uungaji mkono wa haki za Wapalestina.

  • Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya

    Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya

    Apr 14, 2023 23:07

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.

  • Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK

    Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK

    Apr 02, 2023 07:46

    Wanaharakati wa kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya Uingereza, kushinikiza kufungwa kwa mashirika ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali

    Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali

    Mar 28, 2023 22:40

    Kiongozi wa waandamanaji dhidi ya serikali ya utawala haramu wa Israel ameapa kuwa maandamano yataendelea katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu licha ya waziri mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu, kutangaza kuwa mpango tata wa marekebisho ya mahakama ya utawala huo umeakhirishwa hadi mwezi ujao.

  • Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni

    Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni

    Mar 28, 2023 03:59

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.

  • Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu

    Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu

    Mar 27, 2023 07:56

    Rais Isaac Herzog wa Israel amemtaka Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kuachana na mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi wa mahakama'.

  • Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Mar 23, 2023 07:33

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na maafisa wa utawala haramu wa Israel vya kuwepo uwezekano wa kuivamia kijeshi Lebanon na kusisitiza kuwa, uchokozi wowote wa Israel dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu utapata jibu la haraka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS