-
Israel yahamakishwa na jibu kali lililotolewa na wanamuqawama wa Palestina
May 30, 2018 10:38Jibu kali lililotolewa na muqawama wa Palestina kufuatia jinai za kila mara za askari wa Kizayuni la kuvurumisha makombora 22 kulenga kambi kadhaa za utawala huo, limemkasirisha Waziri wa Sheria wa Utawala Haramu wa Israel na kumfanya atishie kwamba ili kutoa pigo kwa uongozi wa muqawama machaguo yote yako mezani hususan la kuvamia na kulikalia kwa mabavu eneo la Ukanda wa Gaza.
-
HRW: Benki za Israel zinafadhili jinai za kivita dhidi ya Wapalestina
May 30, 2018 03:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema benki za Israel zinafadhili jinai za kivita za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Israel yawakamata wanaharakati na boti zao Ukanda wa Ghaza
May 30, 2018 03:06Vikosi vya baharini vya utawala wa Kizayuni wa Israel jana vimeusimamisha msafara wa boti za wanaharakati wa Kipalestina waliokuwa na nia ya kuvunja mzingiro wa kidhalimu wa miaka 11 katika Ukanda wa Ghaza.
-
Askari wa Israel wampiga risasi na kumjeruhi vibaya mwanamke kiziwi wa Palestina
May 28, 2018 21:13Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemmiminia risasi na kumjeruhi vibaya mwanamke asiye na uwezo wa kusikia wa Kipalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Kifaru cha Israel chaua shahidi Wapalestina 3 Gaza
May 27, 2018 09:13Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi kufuatia shambulizi la kifaru cha utawala wa Kizayuni wa Israel mashariki mwa mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia
May 22, 2018 23:55Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni na ule wa Aal Saud zinaungwa mkono na Marekani kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama katika mashambulio yao dhidi ya raia na kubainisha kuwa Washington imezipatia kinga tawala mbili hizo.
-
Wapalestina waitaka ICC ichunguze ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel
May 22, 2018 09:12Palestina imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ianzishe uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel hususan harakati za utawala huo za kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu.
-
Orodha mpya ya Makamanda Wapalestina ambao Israel inataka kuwaua; dalili ya uhai wa Israel kutegemea ugaidi
May 21, 2018 22:08Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza orodha mpya ya makamanda wa Brigedi za Izzedin Qassam Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ambao inalenga kuwaua kigaidi.
-
Wapalestina 3 waaga dunia kutokana na majeraha ya risasi za Israel
May 19, 2018 23:34Wapalestina watatu waliojeruhiwa vibaya na risasi za jeshi katili la Israel katika Ukanda wa Gaza wiki iliyopita wamefariki dunia.
-
Saudia yaanza duru mpya ya kuwakamata wale wanaopinga nchi hiyo kuwa na uhusiano na Israel
May 19, 2018 21:52Vyombo vya habari, wanasheria na wanaharakati mbalimbali wameelezea kupitia mitandao ya kijamii juu ya kuanza duru mpya ya kamatakamata ya utawala wa kifalme wa Aal-Saud dhidi ya wapinzani wanaopinga nchi hiyo kuwa na uhusiano na utawala katili wa Kizayuni.