-
Sera ya US ya Mwiko wa Kutosema Chochote Kuhusu Silaha za Nyuklia ya Israel Inamomonyoka?
May 09, 2026 13:08Katika hali isiyo ya kawaida na ya nadra kuwahi kushuhudiwa, wajumbe 29 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio wakiitaka Washington ifichue na kuweka hadharani mpango wa silaha za nyuklia wa Israel. Barua hiyo inataka kukomeshwa sera ya kiitwacho "kimya rasmi" kuhusu uwezo wa nyuklia wa Israel.
-
Vyombo vya habari vya Kiebrania: Lebanon imekuwa kinamasi chenye gharama kubwa kwa Israel
May 09, 2026 09:06Gazeti la Kiebrania Ma'ariv limeripoti kwamba Lebanon imekuwa kinamasi cha misukosuko na mawimbi makali, chenye gharama kubwa kwa Israel.
-
Majibu ya Khalil al-Hayyah kwa mauaji ya mwanawe: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano
May 09, 2026 08:06Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya harakati ya Hamas huko Gaza, amethibitisha kuuawa shahidi mwanawe, Azzam na rafiki yake, akisisitiza kuwa: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano kwenye meza ya mazungumzo kwa kulenga na kuua familia zetu.
-
Jeshi la Israel lawanyanyasa kingono wanaharakati wa Al-Samoud Global Flotilla
May 09, 2026 07:59Wakati mjadala wa mzingiro wa Ukanda wa Gaza na kampeni za kimataifa za kuvunja mzingiro huo wa utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo ukiendelea, kundi la Al-Samoud Global Flotilla, limechapisha ushuhuda kutoka kwa wanaharakati wake walioachiliwa huru, likishutumu jeshi la Israel kuwa limewanyanyasa kimwili na kingono washiriki wa msafara huo.
-
Sababu Gani Zinaifanya UAE Ishupalie Vita Dhidi ya Iran?
May 06, 2026 11:21Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE au Imarati umechukua msimamo wa waziwazi wa kushupalia vita hususan dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uungaji Mkono wa Ulaya kwa Jinai za Israel Umekuwa na Matokeo Gani?
May 04, 2026 12:37Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametoa indhari kali akisema, nchi za Ulaya zinazizoesha jamii zao sera za kikatili za Israel, yakiwa ni matokeo ya kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kijeshi na kibiashara na utawala huo wa kizayuni licha ya kuwa unakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari katika mahakama za kimataifa.
-
Israel yaifanya Gaza kuwa mahali hatari zaidi duniani kwa wanahabari
May 04, 2026 09:49Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu imetangaza Jumapili kuwa Gaza imegeuka kuwa sehemu hatari kuliko zote duniani kwa wanahabari, huku angalau wafanyakazi 295 wa vyombo vya habari wakithibitishwa kuuawa katika mashambulizi ya Israel tangu kuanza kwa vita Oktoba 2023.
-
IRGC: Utekaji wa wanaharakati wa msafara wa misaada Gaza ni ‘ugaidi wa kimataifa’
May 03, 2026 10:23Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran amelaani vikali hatua ya vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel kuzuia kwa nguvu meli za Msafara wa Global Sumud zilizokuwa zikipeleka misaada ya kibinadamu Gaza.
-
Shambulio la Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Msafara wa Meli wa Sumud; Mijibizo, Jumbe na Matokeo Yake
May 02, 2026 17:01Wanajeshi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameushambulia msafara wa Sumud wa meli za kimataifa na kuzuia kupelekwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Viongozi wa Kikristo wamlaani Muisraeli aliyemshambulia mtawa wa kike katika mji wa al-Quds
May 02, 2026 11:24Malalamiko yameendelea kumiminika baada ya Muisraeli mwenye misimamo mikali kumshambulia mtawa wa kike raia wa Kifaransa, huku Waisraeli Wazayuni wakishadidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu na Wakristo pamoja na maeneo matakatifu katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala wa Israel.