-
Wimbi jipya barani Afrika la kuunga mkono Palestina na kulaani Israel
Sep 30, 2025 12:34Wananchi na viongozi wa nchi za Kiafrika wamelaani jinai za Israel katika wimbi jipya la kuwaunga mkono Wapalestina.
-
Israel yasitisha huduma uwanja wa ndege wa Tel Aviv kufuatia mashambulizi ya Yemen
Sep 30, 2025 02:30Uwanja wa ndege mkuu wa Israel umesimamisha kwa muda safari za ndege baada ya jeshi la Yemen kufanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2 na ndege zisizo na rubani dhidi ya miji ya Tel Aviv na Eilat ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Vipi Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefikia natija ya kufanyika mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 29, 2025 02:16Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetangaza hatua za Israel huko Gaza kuwa ni mfano wa kisheria wa "mauaji ya halaiki."
-
Safavi: Marubani zaidi ya 16 wa Israel waliuawa katika vita vya siku 12
Sep 28, 2025 11:02Mshauri mkuu wa masuala ya kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, zaidi ya marubani 16 wa Israel waliangamizwa katika vita vya siku 12 vilivyotwishwa Iran na utawala wa Kizayuni.
-
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Sep 27, 2025 11:10Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?
Sep 26, 2025 09:23Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.
-
Sababu zilizoifanya Colombia itoe wito wa aina yake wa kuundwa jeshi la kimataifa la kuikomboa Palestina
Sep 26, 2025 02:26Colombia imetoa wito wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Iran yaonyesha taswira za ndani ya kinu cha nyuklia cha Israel, taarifa nyeti za wanasayansi na wataalamu 189 wa kijeshi
Sep 25, 2025 07:03Kwa mara ya kwanza, Wizara ya Usalama ya Iran imeonyesha hadharani picha na taswira nyeti za ndani ya kinu cha nyuklia cha Dimona cha utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Shambulio la droni la Yemen lajeruhi wazayuni 22 Eilat, wawili hali zao mahututi
Sep 25, 2025 07:03Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi watu 22 wakiwemo wawili ambao hali zao ni mahututi. Hayo yanajiri wakati jeshi la kizayuni likiwa lingali linaendeleza vita vyake vya kinyama na mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Politico: Trump amewaambia viongozi wa nchi za Kiislamu hatairuhusu Israel iutwae Ukingo wa Magharibi
Sep 25, 2025 06:41Tovuti ya habari ya Politico imeripoti kuwa, katika mkutano wa faragha aliofanya Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wa nchi kadhaa za Kiarabu na Kiislamu, rais huyo wa Marekani aliwaahidi viongozi hao kwamba, hatamruhusu waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu autwae kikamilifu Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.