-
Waarabu wajidhalilisha kwa kutaka kufanya 'mapatano ya kihistoria' na Israel
Mar 29, 2017 22:46Viongozi wa nchi za Kiarabu wamemaliza kikao chao cha siku moja cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kilichofanyika nchini Jordan kwa kutangaza kuwa wako tayari kufanya kile walichokiita 'mapatano ya kihistoria' na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Makumi ya makuhani wa Kizayuni wadhalilisha watu kijinsia, watiwa mbaroni
Mar 29, 2017 22:02Zaidi ya makuhani 20 wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizovamiwa na kuanza kukaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni mwaka 1948 wametiwa mbaroni kwa kosa la kuwadhalilisha watu kijinsia.
-
Hamas: Israel ijiandae kwa jibu kali kwa kumuua kamanda wetu
Mar 28, 2017 11:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imesema itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kumuua mmoja wa makamanda wake waandamizi.
-
Wamarekani waandamana Washington dhidi ya lobi ya Kizayuni
Mar 27, 2017 03:16Wanaharakati wanaounga mkono Palestina wamefanya maandamano nje ya ukumbi kunakofanyika kongamano la lobi ya Kizayuni ya Kamati ya Marekani na Israel ya Masuala ya Umma (AIPAC) mjini Washington.
-
Askari wa Israel wamuua shahidi kijana mwengine Mpalestina, ujenzi wa vitongoji waongezeka kwa asilimia 40
Mar 24, 2017 00:00Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameishambulia kwa risasi gari moja kaskazini mwa Ramallah katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na kupelekea kuuawa shahidi kijana mmoja Mpalestina na kujeruhiwa wengine watatu.
-
Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni na kutojali kwake ripoti za Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2017 11:58Katika hali ambayo jinai na sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina zinakabiliwa na malalamiko na upinzani wa walimwengu pamoja na jumuiya za kimataifa, utawala huo dhalimu umeamua kushadidisha mashambulio yake dhidi ya wananchi hao madhulumu.
-
Israel yakiri kuongezeka harakati ya ususiaji dhidi yake duniani
Mar 21, 2017 00:38Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, vimetangaza ongezeko kubwa la 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji dhidi ya Israel' maarufu kwa jina la BDS.
-
Israel yafedheheka kwa kutunguliwa ndege yake ya vita huko Syria
Mar 19, 2017 23:30Kufuatia hatua ya hivi karibuni ya kikosi cha Jeshi la Anga la Syria kutungua ndege ya kivita ya utawala haramu wa Israel baada ya ndege hiyo kuingia anga ya Syria, Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa Israel ametishia kushambulia vituo vya silaha za kutungulia ndege vya Syria.
-
PLO yaikosoa UN kwa kushinikiza kufutwa ripoti dhidi ya Israel
Mar 19, 2017 03:58Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Mataifa kuagiza kufutwa ripoti ya Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) kuhusu siasa za ubaguzi za Israel.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aungana na Israel dhidi ya Syria, Hizbullah
Mar 19, 2017 02:05Msemaji wa jeshi la utawala haramu wa Israel amekiri kuwa ndege za kivita za utawala huo zimefanya mashambulizi dhidi ya vituo vya kijeshi nchini Syria.