• Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria

    Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria

    Mar 18, 2017 12:20

    Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema kuwa, makundi ya muqawama ya Palestina yanaliunga mkono jeshi na serikali ya Syria katika kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni na pia kukomboa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Russia yamuita Balozi wa Israel kuhusu shambulio dhidi ya Syria

    Russia yamuita Balozi wa Israel kuhusu shambulio dhidi ya Syria

    Mar 18, 2017 03:40

    Russia imemuita Balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini Moscow ajieleza kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo kuhujumu anga ya Syria sambamba na kutekeleza mashambulizi kadhaa katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Syria: Shambulizi la Israel ni jaribio la kuwapa motisha magaidi

    Syria: Shambulizi la Israel ni jaribio la kuwapa motisha magaidi

    Mar 17, 2017 23:20

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu shambulizi lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi ya nchi hiyo na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawala ya Syria.

  • Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid

    Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid

    Mar 17, 2017 23:19

    Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) amejizulu wadhifa wake baada ya Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres kutoa amri ya kufutwa ripoti ya kamati hiyo inayoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi, Apartheid.

  • Wapalestina waushitaki utawala haramu wa Israel katika mahakama ya ICC

    Wapalestina waushitaki utawala haramu wa Israel katika mahakama ya ICC

    Mar 17, 2017 23:18

    Mwenyekiti wa Kituo cha Haki za Binadamu cha Palestina Radhi al Surani amesema kuwa kutuo hicho kimewasilisha mashtaka sita dhidi ya utawala haramu wa Isarel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Zarif: Israel ndio tishio kubwa zaidi la nyuklia duniani

    Zarif: Israel ndio tishio kubwa zaidi la nyuklia duniani

    Mar 17, 2017 04:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ni "tishio kubwa zaidi la nyuklia" dhidi ya eneo la Mashariki ya Kati na ulimwengu mzima.

  • Wapalestina wengi wanataka Mahmoud Abbas ajiuzulu

    Wapalestina wengi wanataka Mahmoud Abbas ajiuzulu

    Mar 17, 2017 04:09

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa asilimia 64 ya Wapalestina wanataka Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ajiuzulu.

  • Israel inataka kujenga kisiwa katika pwani ya Ghaza

    Israel inataka kujenga kisiwa katika pwani ya Ghaza

    Mar 14, 2017 03:47

    Kanali ya kwanza ya televisheni ya utawala wa Kizayuni imetangaza kuwa waziri wa usafirishaji wa Israel amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa kadhaa wa nchi za Kiarabu kwa minajili ya kuchunguza mpango wa kujenga kisiwa karibu na pwani ya Ukanda wa Ghaza katika kile kinachoonekana ni kutaka kuwadhibiti zaidi Wapalestina.

  • Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya adhana Quds tukufu

    Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya adhana Quds tukufu

    Mar 12, 2017 03:52

    Maelfu ya wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu wamefanya maandamano kulaani sheria iliyopasishwa hivi karibuni na Bunge la Israel ya kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds.

  • Hamas yalaani muswada wa sheria ya Israel wa kuzima adhana Quds

    Hamas yalaani muswada wa sheria ya Israel wa kuzima adhana Quds

    Mar 11, 2017 02:52

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekosoa vikali muswada wa sheria uliopasishwa hivi karibuni na Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, unaopania kupiga marufuku kusomwa adhana katika misikiti ya Quds tukufu.