-
Sisitizo la kimataifa la kufuatiliwa hatari ya silaha za nyuklia za Israel
Mar 11, 2017 02:31Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA alisema siku ya Alkhamisi kuwa, silaha za nyuklia za Israel ni hatari kwa usalama wa dunia nzima na kuutaka wakala huo ulipe uzito mkubwa suala la kufuatilia silaha hizo hatari za utawala wa Kizayuni.
-
Wanajeshi wa Israel wamkamata mbunge mwanamke Mpalestina
Mar 10, 2017 04:02Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewakamata Wapalestina kadhaa akiwemo mbunge mwanamke.
-
Mufti Mkuu wa Quds: Wapalestina hawatairuhusu Israel iingilie masuala yao ya kidini
Mar 09, 2017 13:00Mufti Mkuu wa Baitul Muqaddas Sheikh Muhammad Ahmad Hussein amekosoa vikali hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupasisha muswada wa sheria ya kupiga marufuku adhana katika misikiti ya Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Bunge la Israel lapasisha sheria ya kupiga marufuku adhana katika misikiti ya Quds
Mar 09, 2017 04:41Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel limepasisha hatua ya kwanza ya muswada wa sheria inayopiga marufuku adhana katika misikiti ya mji mtakatifu wa Quds.
-
Mwito wa UN wa kuwekewa vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 09, 2017 00:36Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ametoa muswada mpya wa kuzitaka nchi za dunia kuacha kufanya biashara yoyote ile na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Jibu baridi la Utawala wa Kizayuni kuhusu kuenea vikwazo dhidi yake
Mar 07, 2017 23:49Kufuatia kuimarika harakati ya kimataifa ya kuususia na kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel, bunge la utawala huo limepitisha sheria kuwazuia waungaji mkono wa vikwazo hivyo kuingia katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Israel yaendeleza jinai zake dhidi ya raia wanaodhulumiwa wa Wapalestina
Mar 07, 2017 00:59Utawala wa Kizayuni wa Israel umewapa amri wanajeshi wake wavamie na kuvunja makumi ya nyumba za wananchi wa Palestina katika kijiji cha Khan al Ahmar, mashariki mwa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Polisi ya Israel kumsaili tena Waziri Mkuu Netanyahu
Mar 06, 2017 04:08Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni atahojiwa tena na polisi ya utawala huo kwa mara ya nne katika muda wa mwezi mmoja.
-
Taasisi za kisheria zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni na njama za kufunika jinai hizo
Mar 04, 2017 08:51Utawala wa Kizayuni umemzuia Ripota wa Masuala ya Haki za Binadamu kuingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch hivi karibuni lilitoa ripoti zinazokosoa jinai za utawala huo wa Kizayuni.
-
Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe
Mar 03, 2017 10:07Watu wa Canada wametaka bidhaa zinazotegenezwa Israel zisusiwe nchini humo kama njia ya kutetea haki za taifa la Palestina.