-
Afisa wa Israel akiri jeshi la utawala wa Kizayuni lilishindwa katika vita vya siku 50 Ukanda wa Gaza
Mar 01, 2017 00:57Kamanda wa zamani katika jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel eneo, amekiri wazi kwamba jeshi na serikali yote ya utawala huo, vilishindwa katika vita ya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Gaza, Palestina.
-
Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza
Feb 28, 2017 04:22Jeshi la utawala katili wa Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi watu kadhaa.
-
Radiamali ya Umoja wa Mataifa kwa hatua zilizo dhidi ya ubinadamu za utawala wa Israel
Feb 27, 2017 23:13Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba, katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita, utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa makumi ya nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hivyo kuwaacha Wapalestina wengine wakitangatanga kutokana na kutokuwa na makazi.
-
Bunge la Ufaransa lamtaka Rais Francois Hollande kuitambua rasmi Palestina
Feb 27, 2017 04:09Wabunge wa Ufaransa wamemtaka Rais wa nchi hiyo Francois Hollande aitambue rasmi Palestina.
-
Hamas: Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa kuangamizwa Israel
Feb 24, 2017 23:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, sharti la kuweko amani na uthabiti katika Mashariki ya Kati ni kuangamizwa utawala haramu wa Israel.
-
AI: Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu
Feb 23, 2017 03:04Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutuhumu utawala haramu wa Israel kwa kuhusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Palestina.
-
Ramadan Shalah: Utawala wa Kizayuni unakabiliwa na matatizo mengi
Feb 22, 2017 00:37Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islamu ya Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel haupo katika hali nzuri na unakabiliwa na matatizo chungu nzima.
-
Dehqan: Juhudi za Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran zitafeli
Feb 22, 2017 00:36Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran hazitafua dafu.
-
Qassemi: Kufanana misimamo ya Israel na Saudia sio jambo la ghafla
Feb 20, 2017 03:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufanana misimamo hasi dhidi ya Iran ya Kiislamu ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia na Waziri wa Vita wa Israel katika kikao cha Usalama cha mjini Munich, Ujerumani sio jambo la ghafla.
-
Kufichuliwa kikao cha siri kati ya Waarabu na Wazayuni katika bandari ya Aqaba
Feb 19, 2017 23:21Gazeti moja la Kizayuni limefichua kufanyika kikao cha siri mwaka jana kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni, Jordan na Misri katika bandari ya Aqaba huko Jordan kwa ajili ya kuchunguza mazungumzo ya mapatano na upande wa Palestina.