-
UN: Israel imevuka mstari mwekundu kwa kuidhinisha ujenzi haramu
Feb 08, 2017 00:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Israel imekanyaga mstari mwekundu kwa kupasisha sheria ya kuhalalisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo wa Kizayuni.
-
Mogherini: Ujenzi wa vitongoji vya Israel ni kinyume cha sheria
Feb 07, 2017 03:35Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya alisisitiza jana huko Brussels kuwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni ni kinyume cha sheria na kwamba Umoja wa Ulaya hauafiki ujenzi huo wa vitongoji.
-
Nicaragua yakosoa kufumbiwa macho jinai za utawala wa Israel
Feb 05, 2017 11:21Serikali ya Nicaragua imekosoa vikali hatua ya kuendelea kukingiwa kifua na kutowajibishwa utawala wa Kizayuni wa Israel licha ya jinai zake za kila uchao dhidi ya Wapalestina.
-
Sisitizo la wapinzani wa Netanyahu la kujiuzulu Waziri Mkuu huyo wa Israel
Feb 05, 2017 03:50Upinzani dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka sana hivi sasa. Mamia ya wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wanaendelea kuandamana wakimshikinikiza Netanyahu ajiuzulu.
-
PLO yasisitizia kupandishwa kizimbani viongozi wa utawala wa Kizayuni
Feb 04, 2017 04:07Katibu Mkuu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina ametaka viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wapandishwe kizimbani kwa jinai walizofanya ikiwemo ya ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina.
-
Kuendelea ukandamizaji wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina
Feb 04, 2017 00:26Qadura Fares, Mkuu wa Klabu ya Mateka wa Kipalestina amesema kuwa, vitendo viovu wanavyofanyiwa Wapalestina hao kwa madai tofauti na kuongezeka sana jinai hizo dhidi ya mateka waKipalestina, ni mambo yanayofanyika kwa amri ya moja kwa moja ya Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon yafanikiwa kuangamiza mtandao wa kijasusi wa Israel
Jan 28, 2017 04:12Lebanon imefanikiwa kuangamiza mtandao wa kigaidi wa shirika la kijasusi la Mossad la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wakimbizi wa Afrika huko Israel walalamikia unyanyasaji
Jan 27, 2017 10:21Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika wamefanya maandamano nje ya Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset), kukosoa sera za kikatili na kibaguzi za Tel Aviv dhidi yao.
-
Dunia yaendelea kupinga sera za kupenda kujipanua za Israel
Jan 26, 2017 00:10Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimetoa taarifa tofauti zikilaani hatua ya Israel ya kupasisha ujenzi wa nyumba mpya 2500 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Glenn: Huenda Israel itafanya njama za kuuawa Trump wa US
Jan 24, 2017 04:45Mark Glenn, mchambuzi mashuhuri wa kisiasa nchini Marekani amesema yumkini serikali ya Washington ikapanga njama za kuuawa Rais mpya wa Marekani Donald Trump, iwapo hatasimamia maslahi ya Wazayuni.