-
White House: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Beitul Muqaddas kungali kunachunguzwa
Jan 23, 2017 03:42Katika radiamali yake kuhusiana na kuenea habari za kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Beitul Muqaddas katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, ikulu ya White House imesema kuwa suala hilo lingali katika hatua zake za mwanzo na kwamba bado linachunguzwa.
-
Benjamin Netanyahu azidi kuandamwa
Jan 15, 2017 03:47Mamia ya wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kulaani ufisadi wa kifedha wa viongozi wa utawala huo hususan Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, mjini Tel Aviv.
-
Fedheha na kashfa za ngono zaendelea kuutikisa utawala haramu wa Israel
Jan 13, 2017 01:21Msururu wa kashfa na fedheha za ngono unaendelea kuutikisa utawala wa kizayuni wa Isarel na kuzusha maswali mengi kuhusu maadili ya viongozi wa utawala huo baada ya wanawake wengi kujitokeza na kuanika madhila wanayofanyiwa na maafisa wa serikali au katika jeshi la Israel.
-
Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah
Jan 13, 2017 00:43Jeshi la Syria limetangaza kuwa utawala wa kizayuni wa Israel umeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mezzah ulioko magharibi mwa mji wa Damascus na kuutahadharisha utawala huo kuhusu taathira mbaya za shambulizi hilo.
-
Ukuta wa uzio katika mpaka wa Gaza; dharau ya Israel kwa Baraza la Usalama la UN
Jan 11, 2017 11:30Wakati Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio nambari 2234 la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usimamishe ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu, waziri wa vita wa utawala huo haramu ameafiki shauri la kujengwa ukuta wa uzio katika mipaka ya Ukanda wa Gaza.
-
Abbas amwandikia barua Trump akimuonya juu ya ubalozi wa Israel
Jan 10, 2017 04:43Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemwandikia barua Rais mteule wa Marekani Donald Trump na kumuonya juu ya taathira hasi za pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.
-
Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina
Jan 07, 2017 03:42Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.
-
Kuendelea kwa makabiliano kati ya Umoja wa Mataifa na utawala ghasibu wa Israel
Jan 05, 2017 03:51Wakala wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Misaada kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) umefuta jina la Israel katika vitabu vya shule vya watoto wa Kipalestina kutokana na utawala huo ghasibu kutokua ya historia.
-
Jamii ya kimataifa yapongeza msimamo wa Senegal dhidi ya Israel
Jan 03, 2017 10:16Jamii ya kimataifa imeipongeza Senegal kwa kuunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Wasiwasi wa Human Rights Watch kuhusu jinai za Israel
Jan 03, 2017 03:37Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limebainisha wasiwasi wake juu ya mauaji na jinai zinazotekelezwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.