Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wasiwasi wa Human Rights Watch kuhusu jinai za Israel

    Wasiwasi wa Human Rights Watch kuhusu jinai za Israel

    Jan 03, 2017 03:37

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limebainisha wasiwasi wake juu ya mauaji na jinai zinazotekelezwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.

  • Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu uwezo wa Hizbullah

    Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu uwezo wa Hizbullah

    Jan 02, 2017 22:57

    Kituo kimoja cha utafiti katika utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiri katika ripoti yake ya hivi karibuni kuwa, Wazayuni wana wasiwasi mkubwa kuhusu nguvu za harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Abbas: 2017 utakuwa mwaka wa kujitangazia uhuru Palestina

    Abbas: 2017 utakuwa mwaka wa kujitangazia uhuru Palestina

    Jan 01, 2017 04:35

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amekaribisha hatua ya hivi karibuni ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupasisha azimio dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na kusema kuwa 2017 utakuwa mwaka wa Palestina kujitangazia uhuru wake.

  • Mayahudi wa Othodoksi waunga mkono azimio la UN dhidi ya Israel

    Mayahudi wa Othodoksi waunga mkono azimio la UN dhidi ya Israel

    Dec 30, 2016 03:36

    Idadi kadhaa ya Mayahudi wa madhehebu ya Othodoksi wamekusanyika mbele ya Ikulu ya Rais wa Marekani, White House kuonyesha uungaji mkono wao kwa azimio lililopitishwa karibuni na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kulaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.

  • UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na Israel umeongezeka  mno

    UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na Israel umeongezeka mno

    Dec 30, 2016 01:00

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mwaka huu unaomalizika wa 2016 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya uvunjaji na ubomoaji nyumba za Wapalestina uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Bahrain yalaaniwa kwa kuanzisha uhusiano na Israel

    Bahrain yalaaniwa kwa kuanzisha uhusiano na Israel

    Dec 29, 2016 03:53

    Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Israel: Tutampa Trump ushahidi wa kuhusika Obama na azimio la UNSC

    Israel: Tutampa Trump ushahidi wa kuhusika Obama na azimio la UNSC

    Dec 27, 2016 04:19

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umedai kuwa una ushahidi madhubuti unaothibitisha kuwa Rais wa Marekani Barack Obama alihusika kikamilifu na kupitishwa katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni; na kwamba nyaraka na ushahidi huo utampatia rais mteule wa Marekani tu Donald Trump.

  • 'Israel yaendelea kupoteza uungaji mkono duniani'

    'Israel yaendelea kupoteza uungaji mkono duniani'

    Dec 26, 2016 13:02

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema ataangalia upya uhusiano wa utawala huo na Umoja wa Mataifa.

  • Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel

    Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel

    Dec 26, 2016 03:44

    Maulamaa nchini Bahrain wamelaani juhudi za utawala wa nchi hiyo za kuweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran yakaribisha hatua ya Baraza la Usalama dhidi ujenzi wa vitongoji vya Israel

    Iran yakaribisha hatua ya Baraza la Usalama dhidi ujenzi wa vitongoji vya Israel

    Dec 25, 2016 04:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS