-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lapasisha azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi, Palestina
Dec 24, 2016 08:14Hatimaye baada ya miaka kadhaa ya walimwengu kusubiri jibu la jamii ya kimataifa dhidi ya ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zilizoporwa za Palestina, jana Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha azimio nambari 2334 linaloitaka Israel isitishe mara moja ujenzi huo katika ardhi zilizoghusubiwa za Palestina.
-
Baraza la Usalama lapasisha azimio dhidi ya Israel, ushindi kwa Palestina
Dec 24, 2016 04:08Hatimaye baada ya vuta nikuvute, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kutaka kusimamishwa mara moja ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Trump aishurutisha Misri kuakhirisha azimio la UN dhidi ya Israel
Dec 23, 2016 12:54Rais mteule wa Marekani amempigia simu Rais wa Misri na kuitaka Cairo iakhihirshe uwasilishaji wa rasimu ya azimio kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Trump ataka azimio la UN dhidi ya Israel lipigiwe kura ya veto
Dec 22, 2016 11:47Rais mteule wa Marekani ametaka kupigiwa kura ya turufu azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
EU, Arab League zalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Dec 21, 2016 10:54Umoja wa Ulaya EU na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Ban Ki-moon apuuza Palestina katika siku zake za mwisho
Dec 19, 2016 04:50Wakati zikiwa zimebakia wiki mbili tu hadi kung'atuka madarakani kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amethibitisha tena kwamba, jumuiya hiyo ya kimataifa imeshindwa kuwa na nafasi na mchango muhimu katika mgogoro wa Palestina.
-
PLO yaionya Marekani kuhusu kuhamishia ubalozi Quds Tukufu
Dec 17, 2016 04:24Afisa wa ngazi za juu katika Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Qud Tukufu.
-
Trump ateua Mzayuni mwenye misimamo mikali kuwa balozi wa US, Israel
Dec 16, 2016 04:47Rais mteule wa Marekani ameteua David Friedman, Mzayuni mwenye misimamo ya kuchupa mipaka kuwa balozi wa Marekani katika utawala haramu wa Israel.
-
Kubomolewa zaidi ya nyumba 800 za Wapalestina na askari wa Israel
Dec 15, 2016 23:09Wakuu wa jumbe za Umoja wa Ulaya walioko Batul Muqaddas na Ramallah huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu wameripoti kuwa tangu ulipoanza mwaka huu wa 2016 hadi sasa askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa zaidi ya nyumba 800 za Wapalestina.
-
Mchanganuzi: US, UK na Israel zimezitelekeza Sudan mbili baada ya kuzitenganisha
Dec 15, 2016 10:43Katika hali ambayo Sudan Kusini inatimiza miaka mitatu ya mapigano, machafuko na uhasama, wachanganuzi wa mambo wanasema kuwa, Marekani, Uingereza na Israel zimeitelekeza nchi hiyo na jirani yake Sudan, licha ya kuhusika moja kwa moja katika mpango wa kuzitenganisha.