Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wananchi wa Azerbaijan waandamana dhidi ya safari ya Netanyahu

    Wananchi wa Azerbaijan waandamana dhidi ya safari ya Netanyahu

    Dec 13, 2016 04:51

    Wananchi wa Azerbaijan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Baku, kulaani safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ambaye anaanza ziara isiyo ya kawaida katika nchi mbili za Kiislamu za Asia ya Kati.

  • Waislamu wa Nigeria walaani njama za Israel

    Waislamu wa Nigeria walaani njama za Israel

    Dec 10, 2016 12:08

    Waislamu wa Kishia nchini Nigeria wamelaani njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kukwamisha juhudi za kuachiliwa huru Sheikh Zakzaki, mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • Mick Napier: Israel inataka kubadilisha demografia ya Ufukwe wa Magharibi, Palestina

    Mick Napier: Israel inataka kubadilisha demografia ya Ufukwe wa Magharibi, Palestina

    Dec 08, 2016 12:53

    Mick Napier, mwanaharakati wa asasi ya Uskochi ya Mshikamano na Palestina amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaendesha kampeni ya ufutaji kizazi katika Ufukwe wa Magharibi, Bonde la Jordan na maeneo mengine ya Palestina ili kuweza kuanzisha jamii ya "Mayahudi Pekee".

  • Mamia ya Wapalestina watekwa nyara na Wazayuni

    Mamia ya Wapalestina watekwa nyara na Wazayuni

    Dec 04, 2016 03:53

    Kituo cha Kufuatilia Masuala ya Mateka wa Palestina kimesema kuwa, mamia ya Wapalestina wametekwa nyara na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwezi ulioisha wa Novemba.

  • Israel: Hasara inayotokana na moto unaoendelea kuwaka haijawahi kushuhudiwa

    Israel: Hasara inayotokana na moto unaoendelea kuwaka haijawahi kushuhudiwa

    Nov 28, 2016 12:16

    Utawala haramu wa Israel umetangaza kuwa, moto mkubwa unaoendelea kuwaka katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, umeusababishia hasara ya mamilioni ya Dola hadi sasa.

  • Polisi kumchunguza Netanyahu kwa kashfa ya ununuzi wa nyambizi

    Polisi kumchunguza Netanyahu kwa kashfa ya ununuzi wa nyambizi

    Nov 24, 2016 10:52

    Mwanasheria Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametoa agizo la kuchunguzwa Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, anayeandamwa na kashfa ya ununuzi wa nyambizi kutoka Ujerumani.

  • Kiongozi wa kidini wa Kizayuni atupwa jela miezi 18 kwa ubakaji Israel

    Kiongozi wa kidini wa Kizayuni atupwa jela miezi 18 kwa ubakaji Israel

    Nov 23, 2016 01:22

    Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja na miezi sita, kiongozi wa kidini wa Kizayuni kwa kuwabaka wanawake watatu.

  • Israel: Tulishindwa katika vita vya siku 50 dhidi ya HAMAS huko Gaza, Palestina

    Israel: Tulishindwa katika vita vya siku 50 dhidi ya HAMAS huko Gaza, Palestina

    Nov 21, 2016 23:15

    Duru za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limesema kuwa, miezi michache kabla ya kuanzisha vita vya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Gaza huko Palestina, viongozi kadhaa wa usalama wa utawala huo, walilionya jeshi hilo kwamba, halikuwa na maandalizi ya kutosha kuingia katika vita hivyo.

  • Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana

    Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana

    Nov 21, 2016 03:58

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia amri yake ya kupiga marufuku adhana na kusema sheria hiyo ni sawa na 'kuchezea moto.'

  • Uturuki yateua balozi wake wa utawala haramu wa Israel

    Uturuki yateua balozi wake wa utawala haramu wa Israel

    Nov 17, 2016 00:54

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa Ankara imemteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo katika utawala haramu wa Israel, miezi michache baada ya pande mbili hizo kutangaza kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS