Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wapalestina wengine wawili wauawa shahidi na jeshi  la Israel

    Wapalestina wengine wawili wauawa shahidi na jeshi la Israel

    Mar 17, 2016 10:30

    Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Wapalestina wengine wawili wauwa shahidi na jeshi  la Israel

    Wapalestina wengine wawili wauwa shahidi na jeshi la Israel

    Mar 17, 2016 10:29

    Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Israel yanyakua ardhi zaidi za Wapalestina

    Israel yanyakua ardhi zaidi za Wapalestina

    Mar 15, 2016 23:27

    Israel imenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hatua ambayo inakiuka sheria za kimataifa zinazoitaka iache kujitanua katika ardhi za Wapalestina.

  • Wazayuni wamzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia kuingia Palestina

    Wazayuni wamzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia kuingia Palestina

    Mar 13, 2016 21:54

    Utawala wa kizayuni wa Israel umemzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Retno Marsudi kuingia katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, ambapo alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Palestina.

  • Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria

    Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria

    Mar 11, 2016 23:03

    Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

  • Kupungua kwa uungaji mkono wa chama cha Likud

    Kupungua kwa uungaji mkono wa chama cha Likud

    Mar 11, 2016 04:34

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na kanali ya televisheni ya Israel kuhusu uchaguzi ujao wa Bunge la utawala huo yameonesha kuwa, chama tawala cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu kitapata viti 25 tu vya Bunge.

  • Iran: Israel ni hatari kwa amani na usalama wa dunia

    Iran: Israel ni hatari kwa amani na usalama wa dunia

    Mar 10, 2016 04:20

    Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema vichwa vya silaha za nyuklia vinavyomilikiwa na utawala haramu wa Israel ni tishio kuu kwa amani na usalama wa dunia.

  • Iran: Kona zote za Israel zinaweza kufikiwa na makombora yetu

    Iran: Kona zote za Israel zinaweza kufikiwa na makombora yetu

    Mar 09, 2016 04:22

    Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, amesema maeneo yote ya ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel yanaweza kufikiwa na makombora ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Nchi za Kiislamu zataka bidhaa za Israel zisusiwe kimataifa

    Nchi za Kiislamu zataka bidhaa za Israel zisusiwe kimataifa

    Mar 08, 2016 22:18

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Israel imeua watoto 41 Wapalestina kwa muda wa miezi mitano

    Israel imeua watoto 41 Wapalestina kwa muda wa miezi mitano

    Mar 06, 2016 03:38

    Utawala haramu wa Israel umeua watoto 41 Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS