Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza

    Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza

    Sep 16, 2024 07:47

    Raia mmoja wa Marekani aliyejulikana kwa jina na Matt Nelson amejichoma moto katika mji wa Boston akipinga na kulalamikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza.

  • Israel yaunda kikosi maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar

    Israel yaunda kikosi maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar

    Sep 15, 2024 04:01

    Shirika la kijasusi la ndani la Israel Shin Bet (Shabak) limeunda kitengo maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar, Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS.

  • Shambulio la kigaidi la Israel kusini mwa Lebanon laua shahidi mtu mmoja na kujeruhi wengine 13

    Shambulio la kigaidi la Israel kusini mwa Lebanon laua shahidi mtu mmoja na kujeruhi wengine 13

    Sep 14, 2024 07:01

    Mtu mmoja ameuawa shahidi na wengine 13 kujeruhiwa katika mashambulio la kigaidi la utawala wa kigaidi wa Israel huko kusini mwa Lebanon.

  • Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza

    Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza

    Sep 12, 2024 23:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la anga la Israel dhidi ya shule nyingine iliyogeuzwa makazi na wakimbizi katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18, wakiwemo wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel

    Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel

    Sep 09, 2024 09:36

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula amesema kuwa, Israel sio tu inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, bali pia inaharibu ardhi na vyanzo vya chakula vya Palestina.

  • Wazayuni waendelea kuangamizwa katika operesheni za kulipiza kisasi

    Wazayuni waendelea kuangamizwa katika operesheni za kulipiza kisasi

    Sep 08, 2024 08:02

    Kwa akali walowezi watatu wa Kizayuni wenye umri wa makamo wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na kivuko daraja la Karama (Allenby) kwenye mpaka kati ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na Jordan, huku mashambulizi ya anga ya Wazayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa yakiendelea.

  • Muqawama wa Iraq watumia droni za kamikaze kupiga Haifa

    Muqawama wa Iraq watumia droni za kamikaze kupiga Haifa

    Sep 04, 2024 03:30

    Harakati ya Muqawama ya Iraq imefanya shambulizi la ndege zisizo na rubani dhidi ya mji wa Haifa, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Marekani ni mshirika wa Israel katika uhalifu wa kivita huko Gaza

    HAMAS: Marekani ni mshirika wa Israel katika uhalifu wa kivita huko Gaza

    Sep 04, 2024 03:29

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Marekani ni mshirika wa muda mrefu wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza, na imeendelea kutoa uungaji mkono wake wa kisiasa, kijeshi na kiusalama kwa utawala huo ghasibu.

  • Iran: Dunia haitasahau nafasi ya UK katika kuundwa utawala wa Kizayuni

    Iran: Dunia haitasahau nafasi ya UK katika kuundwa utawala wa Kizayuni

    Sep 02, 2024 23:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mataifa ya kieneo na dunia kwa ujumla hayatasahau mchango na nafasi ya Uingereza katika kuundwa utawala wa kibaguzi wa Israel katika kitovu cha ulimwengu wa Kiislamu.

  • Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil

    Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil

    Sep 01, 2024 03:10

    Kwa uchache askari polisi wawili wa Israel na mlowezi mmoja wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na mji wa al-Khalil, katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS