Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jacob Zuma

  • Zuma kushirikisha timu ya wanasheria baada ya kufukuzwa katika chama tawala cha ANC

    Zuma kushirikisha timu ya wanasheria baada ya kufukuzwa katika chama tawala cha ANC

    Jul 29, 2024 12:50

    Chama cha uMkhonto weSizwe cha nchini Afrika Kusini kimesema kuwa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma, atashirikisha timu yake ya mawakili kumtetea kufuatia hatua ya chama tawala cha ANC ya kumfukuza chamani baada ya chombo kimoja cha habari nchini humo kuweka wazi waraka uliovuja.

  • Kesi ya ufisadi inayomkabili Zuma kuanza tena kusikilizwa katika kikao cha wazi

    Kesi ya ufisadi inayomkabili Zuma kuanza tena kusikilizwa katika kikao cha wazi

    Aug 05, 2021 08:14

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma wiki ijayo ataruhusiwa kutoka jela ili kuhudhuria ana kwa ana katika kesi ya ufisadi ya muda mrefu inayomkabili na si kwa anjia ya video. 

  • Waziri wa Sheria: Raisi wa zamani wa A. Kusini, Zuma anaweza kuachiwa huru baada ya miezi 4

    Waziri wa Sheria: Raisi wa zamani wa A. Kusini, Zuma anaweza kuachiwa huru baada ya miezi 4

    Jul 09, 2021 07:23

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kuachiliwa huru kutoka gerezani baada ya miezi minne. Hayo yalisema jana na Waziri wa Sheria wa Afrika Kusini, siku moja baada ya kiongozi huyo wa zamani kuwashangaza wafuasi wake kwa kujisalimisha kwa polisi na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15.

  • Thales yakata rufaa katika kesi ya ufisadi ya Zuma huko Afrika Kusini

    Thales yakata rufaa katika kesi ya ufisadi ya Zuma huko Afrika Kusini

    Nov 05, 2019 14:11

    Kampuni ya kuuza silaha ya Thales ya Ufaransa imetangza kuwa, itaitaka Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini ruhusa ya kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa mwezi uliopita wa Oktoba iliyokataa kusitishwa kabisa kesi ya kula rushwa inayomkabili rais wa zamani wan chi hiyo, Jacob Zuma.

  • Kesi ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma yaendelea

    Kesi ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma yaendelea

    Oct 15, 2019 13:30

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema atakata rufaa kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kukataa kuzuia daima mashtaka dhidi yake katika kesi ya ufisadi katika mauzo ya silaha zilizokuwa na thamani ya dola bilioni mbili.

  • Kulazimishwa kujiuzulu Jacob Zuma kumezusha mgogoro wa kisiasa Afrika Kusini

    Kulazimishwa kujiuzulu Jacob Zuma kumezusha mgogoro wa kisiasa Afrika Kusini

    Apr 07, 2018 15:56

    Kitendo cha kulazimishwa Jacob Zuma kujiuzulu urais kabla ya kumalizika muda wake huko Afrika Kusini si tu kimekiathiri chama tawala cha ANC, lakini pia kimezusha mgogoro wa kisiasa nchini humo.

  • Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu

    Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu

    Feb 13, 2018 08:05

    Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini (rand) imeporomoka baada ya chama tawala nchini humo ANC kutishia kuwa kitamuondoa ofisini kwa nguvu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

  • Hotuba ya Rais Zuma katika Bunge la Afrika Kusini yaakhirishwa

    Hotuba ya Rais Zuma katika Bunge la Afrika Kusini yaakhirishwa

    Feb 07, 2018 02:35

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini Baleka Mbete amesema hotuba ya kila mwaka ya rais kuhusu hali ya nchi, imeakhirishwa kutokana na mashinikizo anayokabiliana nayo Rais Jacob Zuma.

  • Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili

    Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili

    Oct 24, 2017 14:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini mjini Pretoria.

  • Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma

    Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma

    Sep 27, 2017 14:13

    Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika mji wa Cape Town kudhihirisha ghadhabu zao kutokana na kashfa mbalimbali za ufisadi, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS