-
Iran: Vikwazo vya Marekani katika sekta yetu ya mafuta na gesi vimefeli vibaya
Jan 24, 2021 23:01Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani katika sekta yetu ya mafuta na gesi vimeshindwa na kufeli vibaya.
-
Jahangiri: Iran iko mstari wa mbele kupambana na ugaidi
Jan 29, 2019 03:54Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imekuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugaidi na kwamba, kama si kujitolea kwa serikali na watu wa Syria na washirika wa nchi hiyo, basi hii leo tishio la kundi la Daesh lingeenea katika nchi zote za kanda hii na maeneo mengine ya dunia.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran aelekea Najaf Iraq kushiriki maandamano ya Arubaini
Oct 30, 2018 01:15Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaelekea mjini Najaf, Iraq, kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya Arubaini ya Imam Husain AS na pia kufanya ziara katika Haram tukufu ya Imam Ali AS.
-
Jahangiri: Iran katu haitagonga mwamba
Aug 18, 2018 23:08Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesisitiza kuwa, Iran katu haitagonga mwamba na kuongeza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa na usio na kifani kwa mtazamo wa mali asili, nguvu kazi na uongozi wenye busara katika kukabiliana na vikwazo."
-
Irada ya Iran ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika
Dec 31, 2017 04:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitza azma yake ya kuimarisha uhusiano na nchi za bara la Afrika.
-
Rouhani awapongeza Waislamu kwa Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (saw)
Dec 06, 2017 01:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza Waislamu kote duniani na kuwapa mkono wa heri na baraka kwa mnasaba wa siku ya leo tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal, siku aliyozaliwa ndani yake mbora wa viumbe na rehma ya Mwenyezi Mungu kwa viumbe wake, Muhammad bin Abdullah (saw).
-
Iran yamkosoa Trump kwa kujiondoa makubaliano ya tabianchi
Jun 06, 2017 09:02Iran imemkosoa vikali rais wa Marekani kwa kujiondoa katika Makubaliano ya Kimataifa ya Tabianchi .
-
Iran kuiwekea Marekani vikwazo
Mar 26, 2017 09:44Kufuatia hatua ya Marekani ya kuiwekea Iran vikwazo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nayo itachukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kuiwekea Marekani vikwazo.
-
Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi wa 19 Mei
Mar 22, 2017 03:25Makamu wa Kwanza Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali imejitayarisha kikamilifu kwa ajili ya kuandaa uchaguzii wa rais na uchaguzi mdogo wa bunge tarehe 19 Mei.
-
Jahangiri: Lugha za vitisho dhidi ya Iran zimeshindwa na hazina athari yoyote
Feb 07, 2017 00:32Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tawala na watu wanaozungumza na taifa kubwa la Iran kwa lugha za vitisho ndio washindwa wakuu katika medani.