-
Zarif: Lazima Marekani isitishe ugaidi wa kiuchumi na irejee JCPOA, kabla ya mazungumzo
Aug 30, 2019 08:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Marekani lazime irejee katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na isitishe ugaidi wake wa kiuchumi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kabla ya kufanyika mazungumzo.
-
Safari ambayo haikutarajiwa ya Zarif nchini Ufaransa; muendelezo wa mazungumzo, mara hii Bairritz
Aug 26, 2019 13:28Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Jumapili alasiri alielekea Ufaransa katika safari ambayo haikuwa imetaraijiwa kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian kwa lengo la kuendelea na mazungumzo kuhusu ubunifu wa hivi karibuni wa marais wa Iran na Ufaransa kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje
Jul 14, 2019 06:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuyauza mafuta yake nje ya nchi bila kubabaishwa na chochote.
-
Zarif: Hatua ya Iran kupunguza ahadi ilizojifunga nazo itazuia JCPOA kuvunjika kikamilifu
Jul 05, 2019 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran na kueleza bayana kwamba, hatua ya kupunguza ahadi ilizojifunga nazo Iran kwa mujibu wa mapatano hayo inachukuliwa kwa shabaha ya kuzuia JCPOA isivunjike kikamilifu.
-
Zarif: Iran haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Jul 01, 2019 12:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa, Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani vinalemaza vita dhidi ya mihadarati
Jun 24, 2019 12:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani na ugaidi wa kiuchumi wa nchi hiyo ya kibeberu dhidi ya taifa la Iran umekuwa kizingiti kikubwa katika ushirikiano wa kimataifa hususan katika vita dhidi ya mihadarati.
-
Zarif aikosoa Mossad ya Israel kwa kuituhumu Iran kwa ulipuaji wa meli za mafuta al-Fujairah, UAE
Jun 06, 2019 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali 'taarifa za kiintelijensia' za Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad zinazodai kwamba Iran imehusika na kulipuliwa meli za mafuta katika Bandari ya al-Fujairah huko Umoja wa Falme za Kiarabu, akisisitiza kuwa amewahi kutoa indhari huko nyuma kuhusu kupikwa njama za kutaka kuibua taharuki katika eneo.
-
Zarif: Iran itashuhudia mwisho wa Trump, na wala si kinyume chake
May 25, 2019 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itabakia hai kushuhudia hatima ya Rais Donald Trump wa Marekani na wala si kinyume chake.
-
Zarif ajibu matamshi mapya ya Trump; Timu B yasema hiki, Trump anasema kingine
May 18, 2019 03:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema migongano katika kauli za watawala wa Marekani inaonyesha wazi kuwa hawafahamu kile wanachopaswa kufanya.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasili China akitokea Japan
May 17, 2019 07:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Beijing, mji mkuu wa China mapema leo Ijumaa katika safari yake ya kidiplomasia ya kuzitembelea nchi kadhaa za bara Asia.