-
Zarif: Hakuna uwezekano wowote wa kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani
May 17, 2019 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia yanayofahamika kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi
May 14, 2019 07:52Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo chimbuko la migogoro yote ya kibinadamu katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havina athari za kisiasa kwa Iran
May 05, 2019 14:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote ya kisiasa kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Zarif: Marekani haiwezi kuzuia kustawi uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 12, 2019 07:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani haina uwezo wa kusimamisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Iraq, na kwamba serikali ya Baghdad imejenga uhusiano huo katika misingi ya matakwa na maslahi ya taifa hilo.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika
Mar 10, 2019 07:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.
-
Zarif: Mkutano wa Marekani dhidi ya Iran umefeli hata kabla haujaanza
Feb 10, 2019 14:12Waziri wa Mambo ye Nje wa Iran amesema mkutano wa Marekani unaotazamiwa kufanyika nchini Poland katika siku chache zijazo na ulio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umefeli hata kabla haujaanza.
-
Zarif: Marekani ingali inakiuka haki za Wamarekani weusi
Jan 22, 2019 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kumkamata, kumadhalilisha na kumzuilia kinyume cha sheria, mwandishi wa habari wa Press TV, Marzieh Hashemi imeweka bayana tena namna nchi hiyo inavyokiuka haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Zarif: Hakuna dola linaloweza kudai kuwa limehodhi nguvu zote za dunia
Jan 03, 2019 15:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna taifa lolote linaloweza kudai kuwa limehodhi nguvu zote za dunia katika enzi hizi, na kusisitiza kwamba zama za dola moja kufanya maamuzi kwa niaba ya mataifa kadhaa zimepitwa na wakati.
-
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel
Dec 18, 2018 15:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Zarif: Nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unaendelea kufifia
Dec 14, 2018 16:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada za Rais Donald Trump za kuzishurutisha nchi nyingine zisifanye biashara na Tehran zinaonesha bayana namna uwezo, nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unavyofifia na kudhoofika siku baada ya nyingine.