Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Javad Zarif

  • Zarif: Marekani inapasa kutekeleza makubaliano ya JCPOA

    Zarif: Marekani inapasa kutekeleza makubaliano ya JCPOA

    Oct 21, 2017 16:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inapasa kufanya jitihada za kutekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama inavyofanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Zarif: Iran inataka suluhu, uthabiti na usalama katika eneo

    Zarif: Iran inataka suluhu, uthabiti na usalama katika eneo

    Oct 10, 2017 16:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, kwa muda sasa eneo la Mashariki ya Kati limekumbwa na machafuko na ukosefu wa uthabiti baada ya vikosi vya kijeshi vya kigeni kuanza kuingilia masuala ya eneo hili na amesisitiza kwamba Tehran inataka suluhu, uthabiti na amani vitawale katika mataifa yote ya eneo hili.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Muscat Oman

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Muscat Oman

    Oct 02, 2017 04:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo subuhi ameondoka Tehran na kuelekea ziarani mjini Muscat Oman kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo na Qatar.

  • Zarif: Viongozi wa nchi za Kiislamu watazungumzia jinai dhidi ya Waislamu wa Myanamr

    Zarif: Viongozi wa nchi za Kiislamu watazungumzia jinai dhidi ya Waislamu wa Myanamr

    Sep 10, 2017 02:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema viongozi wa nchi za Kiislamu wanaokutana katika kikao cha Sayansi na Teknolojia nchini Kazakhstan watazungumzia pia jinai zinazoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu wa Myanmar.

  • Zarif autaka Umoja wa Mataifa kusitisha mauaji ya Waislamu Myanmar

    Zarif autaka Umoja wa Mataifa kusitisha mauaji ya Waislamu Myanmar

    Sep 09, 2017 04:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kusitisha ukatili unaofanyika kwa mpangilio maalumu dhidi ya Waislamu nchini Myanmar.

  • Zarif: Mwakilishi wa Marekani UN ni jahili kuhusu yaliyomo kwenye mkataba wa JCPOA

    Zarif: Mwakilishi wa Marekani UN ni jahili kuhusu yaliyomo kwenye mkataba wa JCPOA

    Aug 31, 2017 02:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, balozi na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Nikki Haley, ni jahili kuhusu yaliyomo katika makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1.

  • Zarif: Israel, tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu

    Zarif: Israel, tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu

    Aug 01, 2017 13:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu na kutahadharisha kuwa, utawala huo bandia unafanya juu chini kuyayahudisha maeneo ya Palestina unayoyakaliwa kwa mabavu.

  • Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran

    Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran

    Jul 17, 2017 03:52

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekiuka utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Iran.

  • Zarif: Iran inapinga silaha za aina yoyote za kemikali

    Zarif: Iran inapinga silaha za aina yoyote za kemikali

    Jul 02, 2017 15:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa moja ya misingi mikuu ya Iran ni kupinga kikamilifu kuzalisha na kutumia silaha za aina yoyote za kemikali.

  • Amani ya kudumu hupatikana kwa ushirikiano si kwa misimamo ya Kidaesh

    Amani ya kudumu hupatikana kwa ushirikiano si kwa misimamo ya Kidaesh

    Jun 27, 2017 12:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, eneo la Ghuba ya Uajemi limekumbwa na matatizo mawili makuu ya kimuundo na kutojitambua. Amesema, baadhi ya nchi za eneo hili zinaona usalama wao utapatikana kwa kununua amani kutoka nje wakati ambapo usalama wa kweli unaweza kupatikana tu kwa ushirikiano wa kieneo na kupitia nchi zenyewe za eneo hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS