-
Zarif: Hakuna kizuizi cha kuimarisha uhusiano wa Iran na Tunisia
Jun 20, 2017 07:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna kitu kinachoweza kuzuia au kukwamisha kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Iran na Tunisia.
-
Iran na Algeria zasisitiza kutatuliwa kwa amani hitilafu za kieneo
Jun 18, 2017 14:17Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Algeria wamesisitiza juu ya udharura wa kutatuliwa kwa njia za amani hitilafu na mivutano ya kieneo.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran barani Afrika
Jun 18, 2017 03:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo (Jumapili) anaanza ziara ya kuzitembelea nchi za Algeria, Mauritania na Tunisia.
-
Zarif: Marekani badala ya kufikiria kubadilisha mfumo wa Iran ifikirie kulinda utawala wake
Jun 16, 2017 07:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Iran ameitaka Marekani ifikirie namna ya kulinda utawala wake badala ya kuhangaika ikitaka kubadilisha mfumo unaotawala nchini Iran.
-
Zarif: Wakuu wa Saudia wametangaza wazi wataleta vita ndani ya Iran
Jun 13, 2017 13:41Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, "wakuu wa Saudi Arabia wametangaza wazi kuwa watahamishia vita ndani ya Iran na hili ni tishio la moja kwa moja."
-
Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo
Jun 06, 2017 04:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.
-
Zarif: Ramadhani ni fursa kwa Waislamu kuimarisha umoja wao
May 28, 2017 13:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja mwezi mtukufu wa Ramadhani kama fursa ya kipekee inayoweza kutumiwa na Waislamu kote duniani kwa ajili ya kuimarisha umoja na mshikamano wao.
-
Iran: Mauaji ya waandamanaji Bahrain, matokeo ya awali ya safari ya Trump Riyadh
May 24, 2017 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushambuliwa na kuuawa wananchi wa Bahrain waliokuwa wakishiriki maandamano ya amani ni matokeo ya kwanza ya safari ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump nchini Saudi Arabia.
-
Iran yajadidisha uungaji mkono wake kwa Palestina katika ujumbe kwa Haniya
May 10, 2017 07:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Ismail Haniya kwa kuteuliwa kuwa Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Iran yataka ushirikiano baina ya nchi za Ghuba ya Uajemi
May 01, 2017 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ametoa wito wa kuwepo urafiki miongoni mwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi.