-
Zarif atoa wito wa kupambana na ugaidi na misimamo ya kuchupa mipaka
Apr 27, 2017 07:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada za pamoja za kimataifa zinahitajika ili kung'oa mizizi ya ugaidi na kuenea wimbi la misimamo mikali ya kufurutu ada.
-
Zarif: Marekani imekiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 21, 2017 15:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kwamba Marekani haijatekeleza majukumu yake mkabala na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif: Shambulizi la Marekani dhidi ya Syria ni uzushi hatari sana
Apr 09, 2017 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya Syria ni kinyume na sheria za kimataifa na uzushi hatari sana.
-
Zarif: Marekani inashirikiana na al Qaida na Daesh katika vita huko Yemen na Syria
Apr 08, 2017 03:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa haijapita miongo miwili tangu kujiri tukio la Septemba 11 mwaka 2001 huko Marekani ambapo tunashuhudia tena wanajeshi wa nchi hiyo wakiendesha vita huko Yemen na Syria kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaida na Daesh. Muhammad Javad Zarif ameyasema hayo katika radiamali yake kwa mashambulizi ya makombora ya cruz yaliyofanywa na Marekani jana asubuhi katika kituo cha anga cha al Shayrat mashariki mwa Homs huko Syria.
-
Zarif: Israel ndio tishio kubwa zaidi la nyuklia duniani
Mar 17, 2017 07:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ni "tishio kubwa zaidi la nyuklia" dhidi ya eneo la Mashariki ya Kati na ulimwengu mzima.
-
Zarif: Marekani iache kutoa vitisho dhidi ya Iran
Feb 21, 2017 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema hatua ya Marekani ya kutaka kuiwekea vikwazo vipya Iran inalenga kuichochea Tehran, na ameitaka nchi hiyo iache kutoa vitisho dhidi ya taifa hili.
-
Zarif na Guterres wajadili hali ya Waislamu Warohingya nchini Myanmar
Feb 19, 2017 02:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu hali mbaya waliyonayo Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar, hali ya mambo katika nchi za Yemen, Syria na Iraq na nafasi ya Umoja wa Mataifa katika kutatua migogoro hiyo.
-
Iran: Iwapo Trump ataachana na JCPOA atashangazwa mwenyewe
Jan 18, 2017 16:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, iwapo rais mteule wa Marekani ataamua kuachana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, hatua hiyo itamduwaza na kumuweka kinywa wazi yeye mwenyewe.
-
Iran yaandikia UN Barua kuwatetea Waislamu wa Rohingya
Jan 07, 2017 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amemuandikia barua katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akitaka umoja huo uzingatie zaidi hali mbaya ya Waislamu wa kabila la Rohingya wanaoteswa na kuangamizwa nchini Myanmar.
-
Zarif: Ubeberu wa nchi za Magharibi duniani umepitwa na wakati
Dec 12, 2016 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, zama za uistikbari na ubeberu wa madola makubwa ya Magharibi zimepita na kwamba enzi hizo hazina nafasi katika dunia ya sasa.