Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    May 12, 2018 07:55

    Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.

  • Alaeddin Boroujerdi: Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria

    Alaeddin Boroujerdi: Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria

    May 11, 2018 23:47

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria.

  • JCPOA; Siasa za Iran na matarajio yake kwa nchi Ulaya

    JCPOA; Siasa za Iran na matarajio yake kwa nchi Ulaya

    May 11, 2018 23:45

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mashauriano mapana, ya kina na ya nyuga tofauti yanaendelea kufanyika kwa madhumuni ya kuyadumisha makubaliano hayo kwa sharti la kudhaminiwa kivitendo manufaa na maslahi ya Iran. Na wakati nchi za Ulaya, China na Russia zinatangaza uungaji mkono wao kwa JCPOA, Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya dhidi ya Iran.

  • Wananchi wa Iran waandamana na kulaani uadui wa Marekani

    Wananchi wa Iran waandamana na kulaani uadui wa Marekani

    May 11, 2018 09:58

    Wananchi wa Iran wameandamana leo katika miji mbalimbali nchini baada ya Sala ya Ijumaa na kulaani vikali kuendelea uadui na ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Juhudi za Trump za kuhadaa dunia kufuatia kukabiliwa na ukosoaji mkubwa juu ya JCPOA

    Juhudi za Trump za kuhadaa dunia kufuatia kukabiliwa na ukosoaji mkubwa juu ya JCPOA

    May 11, 2018 03:24

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha njama mpya zenye lengo la kupotosha fikra za walio wengi kufuatia kuongezeka mashinikizo na malalamiko kote duniani dhidi ya hatua yake ya kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.

  • Marekani imekiuka sheria kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Marekani imekiuka sheria kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    May 11, 2018 00:15

    Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kufuatia kufuatia hatua ya Marekani kukiuka sheria na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.

  • Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Ufaransa; fursa yenye mpaka ya Ulaya kwa ajili ya kuhifadhi JCPOA

    Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Ufaransa; fursa yenye mpaka ya Ulaya kwa ajili ya kuhifadhi JCPOA

    May 10, 2018 23:35

    Baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, juhudi za madola ya Ulaya yaliyofikia makubaliano ya nyuklia na Iran zenye lengo la kuikinaishia Tehran ibakie katika makubaliano hayo zinaonekana kushika kasi zaidi.

  • AU yampinga vikali Trump na kutangaza kuiunga mkono kikamilifu JCPOA

    AU yampinga vikali Trump na kutangaza kuiunga mkono kikamilifu JCPOA

    May 10, 2018 10:13

    Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ameelezea wasiwasi wake kutokana na uamuzi wa serikali ya Marekani wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusema AU inaunga mkono kikamilifu mapatano hayo ya kimataifa.

  • Wanachuo na wahadhiri nchini Iran walaani matamshi machafu ya rais wa Marekani

    Wanachuo na wahadhiri nchini Iran walaani matamshi machafu ya rais wa Marekani

    May 09, 2018 22:53

    Wahadhiri, wanachuo na jumuiya za wanachuo nchini wameandamana na kukusanyika mbele ya 'Pango la Ujasusi' la uliokuwa ubalozi wa Marekani hapa mjini Tehran kulaani maneno machafu aliyotoa rais wa Marekani.

  • EU yapinga hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    EU yapinga hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    May 09, 2018 21:57

    Umoja wa Ulaya (EU) umebainisha masikitiko yake kuhusu uamuzi wa Rais Donald wa Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji , JCPOA, na kusisitiza kuhusu kuendelea kutekelezwa na kufungamana kikamilifu na mapatano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS