Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia

    Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia

    May 04, 2018 02:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya dhidi ya kuvunjwa makubaliano ya nyuklia ya Iran huku akisisitiza kuwa mapatano hayo ni ushindi muhimu wa kidiplomasia ambayo yanapaswa kulindwa.

  • Malengo mawili ya makelele mapya ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Malengo mawili ya makelele mapya ya Netanyahu dhidi ya Iran

    May 04, 2018 02:20

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Jumatatu usiku aliendeleza vitendo vyake vya chuki na ghilba za kisiasa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuonesha mbele ya kamera za vyombo vya habari vitu alivyodai kuwa eti ni ushahidi kwamba Iran inafanya juhudi za siri za kumiliki silaha za nyuklia.

  • Zarif: Iran haitofanya mazungumzo yoyote kuhusu JCPOA na mapatano hayo hayataongezwa chochote

    Zarif: Iran haitofanya mazungumzo yoyote kuhusu JCPOA na mapatano hayo hayataongezwa chochote

    May 03, 2018 23:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe alioutoa jana kwa njia ya video kwamba Tehran haitofanya mazungumzo yoyote mapya kuhusu JCPOA na wala mapatano hayo ya nyuklia hayataongezwa chochote. Amesema mapatano hayo yana njia moja tu nayo ni Marekani kuheshimu vipengee vyake vyote.

  • Najafi: Matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya kiraia ni haki ya nchi zote

    Najafi: Matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya kiraia ni haki ya nchi zote

    May 03, 2018 02:20

    Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesisitiza kuwa nchi ambazo zinamiliki mabomu ya nyuklia hazina haki ya kuzuia nchi nyingine zistafidi na teknolojia ya nyuklia kwa malengo ya amani kwa kisingizio cha kuzuia kuenezwa silaha hizo.

  • China: Pande zote zinapaswa kuheshimu mapatano ya JCPOA

    China: Pande zote zinapaswa kuheshimu mapatano ya JCPOA

    May 02, 2018 21:17

    China imesisitizia umuhimu wa pande zote husika kuendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.

  • Boroujerdi: Kama vikwazo dhidi ya Iran vitarejeshwa hakutakuwa na haja ya kuendelea na JCPOA

    Boroujerdi: Kama vikwazo dhidi ya Iran vitarejeshwa hakutakuwa na haja ya kuendelea na JCPOA

    May 02, 2018 21:17

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kama vikwazo vitarejeshwa, hakutakuwa na kitu chochote cha kuweza kuwakinaisha wananchi, Serikali na Bunge la Iran na kuwafanya wakubali kuendelea kuwemo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Israel: Madai ya Netanyahu kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hayana thamani yoyote

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel: Madai ya Netanyahu kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hayana thamani yoyote

    May 02, 2018 03:21

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema: matamshi ya Benjamin Netanyahu dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran hayana thamani yoyote.

  • Iran yaitaka Israel na waungaji mkono wake waache chokochoko zao la sivyo watajuta

    Iran yaitaka Israel na waungaji mkono wake waache chokochoko zao la sivyo watajuta

    May 01, 2018 23:17

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya utawala haramu wa Israel na waungaji mkono wake na kuwataka waache njama na miamala yao hatari kwani jibu la Iran litakuwa la kushtukiza na la kuwafanya wajute.

  • Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu

    Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu

    May 01, 2018 07:37

    Ikulu ya Russia Kremlin imetangaza kuwa, Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Benjamin Netanyahuu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Mogherini ajibu mchezo wa kitoto wa Netanyahu kuhusu mapatano ya JCPOA

    Mogherini ajibu mchezo wa kitoto wa Netanyahu kuhusu mapatano ya JCPOA

    May 01, 2018 00:06

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, usiku wa kuamkia leo amejibu mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel aliyedai kuwa eti Iran haijaheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS