-
Rouhani: Hakuna anayeweza kuthubutu kulidhuru jeshi la Iran
Jul 31, 2017 04:29Rais Hassan Rouhani amesema mihimili mitatu ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaviunga mkono kwa dhati vikosi vya jeshi la Iran na kwa msingi huo hakuna anayeweza kulidhuru jeshi hilo wala Iran.
-
UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai
Jul 26, 2017 07:45Umoja wa Mataifa umelituhumu kwa njia isiyo ya moja kwa moja jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa limehusika na mauaji ya umati katika eneo la Kasai.
-
Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai
Jul 26, 2017 07:43Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi, katika operesheni yake yenye lengo la kuwafuta kabisa magaidi wenye misimamo mikali ambao wanaendeleza harakati zao katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Eneo muhimu ya Kipese DRC lakombolewa na jeshi kutoka mikoni mwa waasi
Jul 17, 2017 04:22Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa, eneo la kiistratejia la Kipese lililokuwa chini ya udhibiti wa wanamgambo wanaobeba silaha limekombolewa la jeshi la nchi hiyo.
-
Hatimaye jeshi la Syria laingia mkoa wa Deir Ezzor baada ya miaka kadhaa
Jun 25, 2017 03:41Askari wa kikosi cha nchi kavu cha Syria wameweza kuingia mkoa wa Deir Ezzor, mashariki mwa nchi hiyo sambamba na kudhibiti maeneo yake tofauti.
-
Meli za Kivita za Iran kuelekea Bahari ya Hindi kulinda doria
May 28, 2017 13:44Msafara wa meli za kivita za Iran zinatazamiwa kuelekea katika Bahari ya Hindi mwezi ujao kulinda doria na kusindikiza meli za mafuta na za kibiashara za Iran.
-
Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya
May 23, 2017 07:45Jeshi la Myanmar limekanusha ripoti ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa iliyosema kuwa viongozi wa serikali wanabeba dhima ya jinai zilizotendwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
Jeshi la Nigeria laua wanachama 13 wa Boko Haram eneo la Ziwa Chad
May 21, 2017 13:39Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeendelea kupata pigo kutoka kwa askari wa jeshi la Nigeria, ambapo wanachama 13 wa genge hilo wameuawa kwenye makabaliano mapya yaliyotokea jana katika eneo la Ziwa Chad.
-
Magaidi 19 wa Daesh wauawa katika shambulizi la anga Misri
Apr 20, 2017 14:05Kwa akali magaidi 19 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa genge hilo wameuawa katika shambulizi la anga la jeshi la Misri katika Peninsula ya Sinai.
-
17 wauawa katika mapigano kati ya magaidi na wanajeshi Mali
Apr 20, 2017 02:27Askari wa Ufaransa wakishirikiana na wanajeshi wa Mali wamefanikiwa kuangamiza magaidi 12 kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiafrika.