-
Kiongozi Muadhamu: Uadui wa Marekani dhidi ya Iran hauna chembe ya shaka
Apr 19, 2017 16:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hakuna shaka yoyote kuhusu uadui wa madola ya kibeberu hususan Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba uadui huo umekuwa ukioneshwa muda wote kwa sura tofauti.
-
Siku ya jeshi; dhihirisho la nguvu na uwezo wa kujilinda Iran
Apr 18, 2017 10:58Leo tarehe 18 Aprili inasadifiana na Siku ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Leo jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeyatumia maadhimisho haya kuonyesha uwezo wake unaoongezeka kila siku ambao kimsingi ni ngome imara ya kukabiliana na wavamizi.
-
Rouhani: Baadhi ya majeshi ya dunia yanaunga mkono ugaidi na mapinduzi ya kijeshi
Apr 18, 2017 08:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jina la baadhi ya majeshi duniani linakumbushia uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi nyingine, mauaji ya kimbari, kuunga mkono ugaidi, kufanya mapinduzi ya kijeshi na kutoheshimu matakwa ya wananchi wa nchi hizo, lakini jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima linatajwa kwa wema.
-
Iran: Jeshi liko tayari kukabiliana na chokochoko zozote za maadui
Apr 16, 2017 15:54Kamanda Mkuu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Ataollah Salehi amesema jeshi limejiweka tayari kukabiliana na chokochoko zozote zile za maadui.
-
Jeshi la Iraq: Magaidi wa Daesh magharibi mwa Mosul wamezingrwa pande zote
Apr 15, 2017 14:09Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, amesema kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamezingirwa tokea pande zote za mji huo.
-
Watu 16 wauwa katika mapigano nchini Sudan Kusini
Apr 11, 2017 16:35Kwa akali watu 16 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano baina ya wanajeshi wa serikali na waasi nchini Sudan Kusini.
-
Rais wa Misri alitaka jeshi kulinda usalama wa maeneo muhimu
Apr 10, 2017 07:08Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kuwekwa haraka vikosi vya ulinzi katika maeneo muhimu kwa ajili ya kulisaidia jeshi la polisi katika kulinda usalama wa miundombinu muhimu kwenye mikoa yote ya nchi hiyo.
-
Meja Jenerali Baqeri: Iran haitetereshwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani
Apr 05, 2017 04:10Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halibabaishwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani na waitifaki wake.
-
Jeshi la Syria laangamiza magaidi zaidi ya 2000 wa kitakfiri, Hama
Mar 31, 2017 14:52Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza maelfu ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Jabhat Fateh al-Sham karibu na mji wa Hama, ulio magharibi mwa nchi.
-
Marekani: Chaguo la kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini lipo mezani
Mar 18, 2017 07:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Washington haitavumilia tena chokochoko za Korea Kaskazini na ikibidi, US itashambulia kijeshi Pyongyang.