Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Jeshi la Syria lakomboa misikiti mitatu toka mikononi mwa Daesh

    Jeshi la Syria lakomboa misikiti mitatu toka mikononi mwa Daesh

    Mar 15, 2017 07:08

    Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Syria vimekomboa misikiti mitatu iliyokuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, mashariki mwa mji wa Damascus.

  • Wanajeshi wa Sudan waachiliwa huru kwa upatanishi wa Rais Museveni

    Wanajeshi wa Sudan waachiliwa huru kwa upatanishi wa Rais Museveni

    Mar 05, 2017 07:39

    Waasi wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Sudan wamewaachilia huru wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo waliokuwa wanawashikilia mateka.

  • Jeshi la Nigeria lawashambulia tena Waislamu wa nchi hiyo

    Jeshi la Nigeria lawashambulia tena Waislamu wa nchi hiyo

    Mar 03, 2017 13:41

    Jeshi na Nigeria pamoja na polisi wa nchi hiyo kwa pamoja wamelishambulia jengo moja la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo katika mji wa Katsina ulioko kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza

    Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza

    Feb 28, 2017 07:52

    Jeshi la utawala katili wa Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi watu kadhaa.

  • Rais Barrow amfuta kazi mkuu wa jeshi Gambia na makanda 10

    Rais Barrow amfuta kazi mkuu wa jeshi Gambia na makanda 10

    Feb 28, 2017 07:24

    Rais Adama Barrow wa Gambia amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo, Jenerali Ousman Badjie, pamoja na makamanda wengine 10 wa ngazi za juu wa vikosi vya usalama nchini humo.

  • Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi

    Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi

    Feb 17, 2017 14:35

    Waziri wa Leba wa Sudan Kusini ametangaza kujiuzulu na kusema kuwa sasa ataunga mkono harakati zinazofanywa na waasi wanaomuunga mkono Riek Machar, Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.

  • 11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    Feb 17, 2017 14:27

    Kwa akali watu 11 wameuawa katika makabiliano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mapema leo katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi mwa Nigeria.

  • UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC

    UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC

    Feb 14, 2017 14:39

    Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeua makumi ya watu katika makabiliano na kundi la waasi kati ya Februari 9 na 13.

  • Jeshi la majini la Iran lawatimua maharamia wa Somalia

    Jeshi la majini la Iran lawatimua maharamia wa Somalia

    Feb 13, 2017 15:18

    Maharamu kutoka Somalia waliojaribu kuteka nyara meli ya mizigo ya Iran wametimuliwa na manwoari za Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jeshi la Iran lasisitiza udharura wa kulindwa lango la Bab El Mandab

    Jeshi la Iran lasisitiza udharura wa kulindwa lango la Bab El Mandab

    Feb 13, 2017 08:19

    Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran amesema kuwa suala linalopewa umuhimu zaidi na jeshi hilo kwa sasa ni kulinda usalama wa Ghuba ya Aden, Bahari Nyekundu na lango bahari la Bab El Mandab.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS